Eric Omondi umefanya tukio la aibu kwa watanzania

Mtoa thread una wivu kwasabu uko bongo hujawahi hata mshika lulu mkono, mwenzio katoka nrb na kammkiss mtoto mzuri Lulu.
Kwanza ile sio denda it was a peck na Lulu was watu hakutegemea coz she thought she was pecking him shavuni Eric akageuga ghafla... and it was meant to make the audience laugh sasa sijui nini kimekufadhaisha.
Mwenzio kaishavuta mkwanja wake we uko huku unalalama
 
Kwani ulisikia pale walikuwa kanisani au msikitini? si ulikuwa kwenye burudani? na kilele cha burudani ni nini?
 
Huyu jamaa kampiga denda Elizabeth Michel a.k.a Lulu Jukwaani. Na amekua akiendelea kumtaja na kumsifia kila dakika.

Sijaona kama ni kitendo cha busara na hekima kabisa."Kitendo husika si sehemu ya maadili ya nchi yetu"

Mbaya zaidi leo umezingua hakuna ulichokifanya! Kila saa Diamond.
Yu wish yu kud be Erick Omondi.
 
Aliye perform vizuri siku ile ni mc pilipili, mpamire na yule jamaa aliyepiga ngoma ya darasa.
 
Huyu jamaa kampiga denda Elizabeth Michel a.k.a Lulu Jukwaani. Na amekua akiendelea kumtaja na kumsifia kila dakika.

Sijaona kama ni kitendo cha busara na hekima kabisa."Kitendo husika si sehemu ya maadili ya nchi yetu"

Mbaya zaidi leo umezingua hakuna ulichokifanya! Kila saa Diamond.
Kwani wewe ni majizoo? Mbona imekutachi sana braza
 
Hovi Lulu si ana miaka 22 mpaka sasa? Namshauri azae mapema sana maana kwa mwili ule kwa kuendekeza bata atakuja kujikuta mayai yote kayakaangia chips.
 
Huyu jamaa kampiga denda Elizabeth Michel a.k.a Lulu Jukwaani. Na amekua akiendelea kumtaja na kumsifia kila dakika.

Sijaona kama ni kitendo cha busara na hekima kabisa."Kitendo husika si sehemu ya maadili ya nchi yetu"

Mbaya zaidi leo umezingua hakuna ulichokifanya! Kila saa Diamond.
so lulu akitiwa na Omond Tz inakua imetendwa upuuzi huo ...
Acha matusi kwa Tz ....
 
Huyu jamaa kampiga denda Elizabeth Michel a.k.a Lulu Jukwaani. Na amekua akiendelea kumtaja na kumsifia kila dakika.

Sijaona kama ni kitendo cha busara na hekima kabisa."Kitendo husika si sehemu ya maadili ya nchi yetu"

Mbaya zaidi leo umezingua hakuna ulichokifanya! Kila saa Diamond.
Kaiwakilisha kenya vyema.
 
Yani ingekua ndo wewe umepata kiss la lulu ungepata stroke pqlepale jukwaani... ila mtoto mashallah kwa kweli
 
hahahhaaha uwezi jua labda walikuwa wana wanarecord bongo movie au lulu kapenda govi siunajua sisi wajaluo huwa hatulitoi lile la kufyodoka.
 
Huyu jamaa kampiga denda Elizabeth Michel a.k.a Lulu Jukwaani. Na amekua akiendelea kumtaja na kumsifia kila dakika.

Sijaona kama ni kitendo cha busara na hekima kabisa."Kitendo husika si sehemu ya maadili ya nchi yetu"

Mbaya zaidi leo umezingua hakuna ulichokifanya! Kila saa Diamond.
Stivu, tulia dawa ikuingie mzee baba... Hahahahaa
 
Back
Top Bottom