Hili lijamaa ni libobevu kwenye Mapigano Majini ( US-NAVY SEAL) 'listahafu' na pia lenye Mapesa yake mengi tu.
Sijajua iwapo limetumwa au ni vipi lakini, limenukuliwa likitamka Uozo huo unaoweza kumchefua Muafrika yeyote.
Kauli hii inasikitisha.
Kuona kuwa inafaa mwingine kutawaliwa, tena Zama hizi?
Anasema Waafrika wanashindwa na hawawezi kujisimamia wenyewe na kuwa Viongozi wa Kiafrika ni Waporaji Mali wanaojinufaisha wenyewe na wafanya matanuzi wakubwa Ughaibuni kwa Mali za Waafrika Masikini wa kawaida.
Phew!
Ndio, ni kweli na wazi kuwa yapo makandokando yanayochefua lakini haiwezi kuwa kwa Viongozi wote na kwa Afrika yote na kwamba basi suluhisho liko kwa wao 'Weupe'.
Kufikia hatua ya kuona kuwa ni sahihi na suluhisho pekee kwa mwingine atawaliwe hii amelitiliza.
Ni kejeli, ni dharau ni kutweza Waafrika wote.
Kwa maneno yake, anadhani ni wakati Wanagharibi wafikirie kuitawala AFRIKA tena YOTE.
Kinachosikitisha zaidi,
Anadhani wao ndio suluhisho.
Hata hivyo, Waafrika tujitafakari sana.
Yanatokea haya kwakuwa tunawapa sababu na mianya ya wao kuona wanaweza kufika huku.
Siku si nyingi hatahivyo unaweza ukasikia lijamaa lipo Afrika limekuja kupumzika na Familia yake.
Nadhani hawa ndio watu wa kuwafungia wasiingie Afrika kabisa.
Mpaka leo mnatawaliwa hamjiwezi mnakopa sana kwa riba maradufu huku mkitoa migodi yenu na mbuga kama sehemu ya amana ya kulipia mikopo huku mkiletewa michele ya GMO na tende

Hakika. Kwani saizi rasilimli za Tanzania zinamnufaisha nani. Ni hao hao. Vinginevyo we jiulize, Tanzania ni nchi ya Tatu Afrika kwa uchimbaji wa dhahabu, lakini tozo kila kona. We huoni kwamba madini hayo yapo Tanzania lakini wanufaika ni hao wanaoendeleza utawala? Kwa sasa China naye amekuja kupata portion ya keki. Kwahiyo jamaa yuko sahihi, ukweli utawala unaendelea
Mpaka leo mnatawaliwa hamjiwezi mnakopa sana kwa riba maradufu huku mkitoa migodi yenu na mbuga kama sehemu ya amana ya kulipia mikopo huku mkiletewa michele ya GMO na tende
tuna kopa na tunalipa bila mbambamba na bado tunakopesheka ๐
mabwenyenye wana madeni yasiyolipika huko kwao halafu waje kutawala nani.
Labda kumtawala mvivu na legelege sijui wa wap ili wakalipe madeni yao ๐
kwanza huo ubavu mpaka tunavyochat hapa hawana, they are completely weaker economically, politically and socially. We are very powerful and they fearz us huko mbeleni tutawatawala wao sasa ๐

hayo ni maoni na mtazamo wako potofu japo ni uhuru na haki yako ya kutoa maoni lakini sio sahihi...
tunakopesheka popote duniani, kwenye taasisi na mashirika yote ya fedha.
zaid sana tunaamininika na kuheshimika mno kwa nchi marafiki duniani, na kwahivyo tukihitaji kukopa vilevule ni chap mara moja bila mbambamba wala masharti magumu...
tunawekeza rasilimali zetu kwa uchache sana kwa wawekezaji, kwa malengo ya kukuza uchumi, kuongeza ajira na hali za maisha ya waTanzania, hiyo hatuwezi kuacha kuwekeza kwasababu wewe hupendi...
si lazima upendwe na wote, muhimu mambo yaende na yaonekane kwenye maisha ya waTanzania wote....

Mtafute kilaza mwenzako umuambie haya shillingi yetu inazidi kushuka thamani kutokana na kukopa hovyo gazeti refu lakini hakuna cha maana ulichoandika bata maji ww
Mtafute kilaza mwenzako umuambie haya shillingi yetu inazidi kushuka thamani kutokana na kukopa hovyo gazeti refu lakini hakuna cha maana ulichoandika bata maji ww
Hili lijamaa ni libobevu kwenye Mapigano Majini ( US-NAVY SEAL) 'listahafu' na pia lenye Mapesa yake mengi tu.
Sijajua iwapo limetumwa au ni vipi lakini, limenukuliwa likitamka Uozo huo unaoweza kumchefua Muafrika yeyote.
Kauli hii inasikitisha.
Kuona kuwa inafaa mwingine kutawaliwa, tena Zama hizi?
Anasema Waafrika wanashindwa na hawawezi kujisimamia wenyewe na kuwa Viongozi wa Kiafrika ni Waporaji Mali wanaojinufaisha wenyewe na wafanya matanuzi wakubwa Ughaibuni kwa Mali za Waafrika Masikini wa kawaida.
Phew!
Ndio, ni kweli na wazi kuwa yapo makandokando yanayochefua lakini haiwezi kuwa kwa Viongozi wote na kwa Afrika yote na kwamba basi suluhisho liko kwa wao 'Weupe'.
Kufikia hatua ya kuona kuwa ni sahihi na suluhisho pekee kwa mwingine atawaliwe hii amelitiliza.
Ni kejeli, ni dharau ni kutweza Waafrika wote.
Kwa maneno yake, anadhani ni wakati Wanagharibi wafikirie kuitawala AFRIKA tena YOTE.
Kinachosikitisha zaidi,
Anadhani wao ndio suluhisho.
Hata hivyo, Waafrika tujitafakari sana.
Yanatokea haya kwakuwa tunawapa sababu na mianya ya wao kuona wanaweza kufika huku.
Siku si nyingi hatahivyo unaweza ukasikia lijamaa lipo Afrika limekuja kupumzika na Familia yake.
Nadhani hawa ndio watu wa kuwafungia wasiingie Afrika kabisa.
"Black people are not complete human beings because they don't have a good brain to govern the society as white people. They are still under the process of becoming the complete human beings."
Pieter W. Botha, a former President of South Africa during the Apartheid era.
"Let us agreed that Blacks cannot rule themselves, Whites are born to rule and Blacks are born to be ruled."

Uko timamu wewe utawala wa jiwe dola tulinunua kwa 2300 na pia ilikuwa imejaa mtaani pomoni huyu kizimkazi na mikopo yake dola imepaa hovyo na mtaani haipo jitafakari