Ye naye si anapesa atumieeeApumzike huyu nae, mbona amekula sana, khaah
Hiyo lugha ya "sina hela..." kwa ccm atasubiri sana, na kuna wenzie wanatekwa huko.Yaani hapa kasema kabisa yeye hana hela...
😂😂😂😂😂Ye naye si anapesa atumieee
Siasa sahvi ni pesa tu 😄
Ova
Eti leo anasema nchi irudi kipindi cha MwalimuWakuu,
Inashangaza sana kuona mtu ambaye alikuwa anahonga wananchi Matisheti analalamikia kuhusu rushwa kwenye Uchaguzi
Yaani hapa kasema kabisa yeye hana hela na kwamba huko Buchosa kuna watu wanasambaza hela ili wachukue nafasi yake.
"Mtakachokifanya kesho wazazi kisitegemee ni kiasi gani cha pesa mtu ametoa. Uongozi haunuliwi hatuwezi kutengeneza taifa la watu wanaonunua uongozi. Jimbo hili fedha zinamwagwa kila kona. Wazazi wangu hii sio sawa na Chama Cha Mapinduzi kinakemea hili jambo"
Natumaini ACT na CHAUMMA wanaangalia kwa umakini mkubwa nini kinaendelea kwenye mchakato wa CCM
Yaani kama huko CCM watu washaanza kumwaga hela na kuchezeana rafu, itakuwaje sasa ikiwa mgombea wa CCM na mpinzani?
Wamuondoe kwenye jimbo,na SIYO kwenye jimbo lake!Wakuu,

Majambazi yamegawana nchi na kujimilikisha kabisa.Jimbo lake? Kalinunua au ni la urithi???? Akwendeeee
Kwani si aliwapa Tshirt alizowaahidi ,asiwe na wasiwasi ametimiza ahadi zake atapita tu.Wakuu,