Jamaa angeishi kama alivyokuwa anajinasibu kwenye magazeti yake, zile story za kuwa amezaliwa kwenye shida, anajua maisha magumu nk angefanya maendeleo sana kwa wana Buchosa.Wakuu,
Inashangaza sana kuona mtu ambaye alikuwa anahonga wananchi Matisheti analalamikia kuhusu rushwa kwenye Uchaguzi
Yaani hapa kasema kabisa yeye hana hela na kwamba huko Buchosa kuna watu wanasambaza hela ili wachukue nafasi yake.
"Mtakachokifanya kesho wazazi kisitegemee ni kiasi gani cha pesa mtu ametoa. Uongozi haunuliwi hatuwezi kutengeneza taifa la watu wanaonunua uongozi. Jimbo hili fedha zinamwagwa kila kona. Wazazi wangu hii sio sawa na Chama Cha Mapinduzi kinakemea hili jambo"
Natumaini ACT na CHAUMMA wanaangalia kwa umakini mkubwa nini kinaendelea kwenye mchakato wa CCM
Yaani kama huko CCM watu washaanza kumwaga hela na kuchezeana rafu, itakuwaje sasa ikiwa mgombea wa CCM na mpinzani?
Pia uwe na kigogo mmoja kati ya wanaomiliki CCM nyuma yako. Asiwe Polepole lakini 😀 .. awe Mhuni.Uchaguzi wa mwaka huu ndani ya CCM,kama huna nguvu ya Pesa hutoboi.
Hatari sanaJimbo lake? Kalinunua au ni la urithi???? Akwendeeee
Rage alikuwa akitoa pesa akipigwa chini jioni anakuja kuzichukua so usile pesa ya rage mpka apite ndii itumia uliza Tabora watakujibuHuu uchaguzi wao sehemu nyingi watia nia wamegawa rushwa kama njugu bila aibu na wameishia kufyekelewa mbali. Hawa walioingia awamu ya pili mwendo ni huohuo kugawa rushwa kwa wajumbe, kama hutoi hutachaguliwa. Ni patashika watu wanagawa ishirini, kumi hadi tanotano, wajumbe wenyewe ni njaa kali wanasema mkono mtupu haulambwi
Analia sana. Kwanza tulikunaliana kuwa Ubunge hauna ela. Hivyo, aache kuzua Taharuki.Wakuu,
Inashangaza sana kuona mtu ambaye alikuwa anahonga wananchi Matisheti analalamikia kuhusu rushwa kwenye Uchaguzi
Yaani hapa kasema kabisa yeye hana hela na kwamba huko Buchosa kuna watu wanasambaza hela ili wachukue nafasi yake.
"Mtakachokifanya kesho wazazi kisitegemee ni kiasi gani cha pesa mtu ametoa. Uongozi haunuliwi hatuwezi kutengeneza taifa la watu wanaonunua uongozi. Jimbo hili fedha zinamwagwa kila kona. Wazazi wangu hii sio sawa na Chama Cha Mapinduzi kinakemea hili jambo"
Natumaini ACT na CHAUMMA wanaangalia kwa umakini mkubwa nini kinaendelea kwenye mchakato wa CCM
Yaani kama huko CCM watu washaanza kumwaga hela na kuchezeana rafu, itakuwaje sasa ikiwa mgombea wa CCM na mpinzani?
Hata nafasi siyo yake.Jimbo lake? Kalinunua au ni la urithi???? Akwendeeee
Hawa jamaa wanatuona wananchi wajinga sana. Sasa hivi kila mmoja kajaza ndugu wote kwenye Ubunge, sisi wanasema tujia ajiri tusibweteke.Eti leo anasema nchi irudi kipindi cha MwalimuEti ombi langu msiniondoe sasa 😀
Yeye mbona alimwaga tishetiWakuu,