TUPACified
JF-Expert Member
- Feb 27, 2015
- 1,367
- 604
Sure thang. Tukirudi kwenye topic, sidhani kama umuhimu tuumize sana kichwa nani anaunga mkono ama la, shida ni wanaopotosha dhana na maana nzima ya hip-hop, esp kwenye rap. Watu ambao tayari wanakubali hiyo sanaa, hawaielewi vizuri, so wanahitaji elimu.uko sawa kabisa kaka,HUU Mjala wa dhana ya nguzo za hip hop tutauchambua zaidi siku zijazo,tujadili maadui wa harakati hizi zenye msingi wa kusema kweli kwa kutumia uwezo wa Mungu
Sijakuelewa unaweza ukatoa ufafanuzi zaidi. Maana hujasema Hip hop ni nn hasa.Masahihisho kodogo. Hip-hop sio muziki, hili kosa wengi tunalifanya sana. Ni utamaduni unahusisha vitu kadhaa, kati ya hivyo ni Rap ambayo ndio muziki.
Ni nguzo tano mkuu umesahau nguzo inaitwa LYRICS,,na kuna ya sita imeongezwa juzi tu na KRS ONE,inaitwa EDUCATION na kuna nyingine inaitwa BE BOY STANCE imeongezwa mwaka juzi piaHip-hop inaundwa na nguzo kuu 4; Emceeing, Break-dancing, Deejaying, pamoja na Graffiting. Je, graffiti ni aina ya muziki?