Eric Shigongo, adui mkubwa wa Hiphop Bongo

Eric Shigongo, adui mkubwa wa Hiphop Bongo

uko sawa kabisa kaka,HUU Mjala wa dhana ya nguzo za hip hop tutauchambua zaidi siku zijazo,tujadili maadui wa harakati hizi zenye msingi wa kusema kweli kwa kutumia uwezo wa Mungu
Sure thang. Tukirudi kwenye topic, sidhani kama umuhimu tuumize sana kichwa nani anaunga mkono ama la, shida ni wanaopotosha dhana na maana nzima ya hip-hop, esp kwenye rap. Watu ambao tayari wanakubali hiyo sanaa, hawaielewi vizuri, so wanahitaji elimu.
 
kuweka kumbukumbu sawa, ilikuwa ni mwaka 2003/2004.

mwaka 2004 ndo ikashindikana kufanyika.
 
Mimi kinachonifurahisha ni kuwa wana hiphop kila mmoja uwa anajiona bora na ndiyr anayejua hip hop ni nini kila anayeulizwa uwa ana definition ya hip hop tofaut na mwenzake
 
Masahihisho kodogo. Hip-hop sio muziki, hili kosa wengi tunalifanya sana. Ni utamaduni unahusisha vitu kadhaa, kati ya hivyo ni Rap ambayo ndio muziki.
Sijakuelewa unaweza ukatoa ufafanuzi zaidi. Maana hujasema Hip hop ni nn hasa.
 
Hip-hop inaundwa na nguzo kuu 4; Emceeing, Break-dancing, Deejaying, pamoja na Graffiting. Je, graffiti ni aina ya muziki?
Ni nguzo tano mkuu umesahau nguzo inaitwa LYRICS,,na kuna ya sita imeongezwa juzi tu na KRS ONE,inaitwa EDUCATION na kuna nyingine inaitwa BE BOY STANCE imeongezwa mwaka juzi pia
 
Back
Top Bottom