TUPACified
JF-Expert Member
- Feb 27, 2015
- 1,367
- 604
Sure thang. Tukirudi kwenye topic, sidhani kama umuhimu tuumize sana kichwa nani anaunga mkono ama la, shida ni wanaopotosha dhana na maana nzima ya hip-hop, esp kwenye rap. Watu ambao tayari wanakubali hiyo sanaa, hawaielewi vizuri, so wanahitaji elimu.uko sawa kabisa kaka,HUU Mjala wa dhana ya nguzo za hip hop tutauchambua zaidi siku zijazo,tujadili maadui wa harakati hizi zenye msingi wa kusema kweli kwa kutumia uwezo wa Mungu