Vijana wa kitanzania tupate neno kutoka kwa Eric Shigongo
"Ushauri wangu kwa Watanzania wenzangu, tuache kulalamika, tumekuwa walalamishi sana, muda mwingi tunatumia kuilamu serikali, nawashauri hasa vijana wenzangu, kila tukiamka asubuhi hebu twendeni tukajishughulishe, tubadilishe changamoto kuwa fursa badala ya kulalamika" -ericshigongo