La saba mwenzangu huyoo tena nimemzidi mim nimemaliza la saba lakini pesa anayo ni nyookooo aisee
La saba mwenzangu huyoo tena nimemzidi mim nimemaliza la saba lakini pesa anayo ni nyookooo aisee
Nina shida na wewe
We si umesoma madrasa kwa shehe Kipozeo.
Kama kweli hakusoma shule ya upili nampa hongera.
Kajitahidi sana kimaisha.
Nishakuja pande zile
Shule ya upili ndio ipi hiyooo
La saba mwenzangu huyoo tena nimemzidi mim nimemaliza la saba lakini pesa anayo ni nyookooo aisee
jamaa amekuwa inspirational kwa rika tofauti,mjasiriamali mwenye mafanikio ila historia ya elimu yake yakushangaza sana alifeli darasa la saba mara mbili na ajasoma secondary kabisa ila ni mwandishi wa hadithi na vitabu mzuri.
source:jana alivyohojiwa na Profesa Shaka Ssali wa VOA katika kipindi straight talk of Africa
Kwa kweli ES pamoja na mapungufu yake anahitaji sifa aisee...nadhani alisoma kozi moja ya afya ya zamani sana inaitwa 'Rural Medical Aid' (RMA) wakitakiwa kufanya kazi vijijini kutoa huduma za afya. Ila kaishia mjini. Nakumbuka wakati bado nasoma udaktari Muhimbili, alikuwa anakuja na kujichanganya na wanafunzi kuingia wodini. Alikuwa anachagua wale wagonjwa wako hoooi na matatizo ya kutisha tisha..anawahoji kwa kificho na kupiga picha, anapublish kwnye gazeti lake la Uwazi. Hata gazeti lenyewe alikuwa anaandikia pale internet café MTC Muhimbili. Umaarufu ukaanzia hapo and now he is on 'Straight Talk Africa, VOA' interviewed by Prof Shaka Ssali! Hongera zake..penye nia pana njia.