misasa
JF-Expert Member
- Feb 5, 2014
- 14,244
- 10,073
Jamaa amekuwa inspirational kwa rika tofauti,mjasiriamali mwenye mafanikio ila historia ya elimu yake ya kushangaza sana alifeli darasa la saba mara mbili na hajasoma secondari kabisa ila ni mwandishi wa hadithi na vitabu mzuri.
Chanzo: Jana alivyohojiwa na Profesa Shaka Ssali wa VOA katika kipindi straight talk of Africa.
Chanzo: Jana alivyohojiwa na Profesa Shaka Ssali wa VOA katika kipindi straight talk of Africa.