Eric shigongo hakusoma shule ya sekondari kabisa

kaharibu sana jamii yetu na vijarida vya ki...........
wadogo zetu darasa la sita mpaka form four wamepotezwa sana na vijarida vyake..
pia jamaa sio freethinka, ni opportunistic balaaa

ila mwishome nimpe hongera kwa kuwa tajiri
 
Nimeskia hii:
1. J. Zuma ni form 4 ya kwao!
2. Bakhresa wanasema hajamaliza primary sch!
3. Sumaye wanasema alikuwa na diploma wkt anapata u-pm!
4. Wanasema MZEE RUKSA alisoma madrassa tu!

Wanawataja wengi zaidi!
 
shigongo aache uongo sikamakuza nsumba boys kidato cha sita asiuhadae ulimwengu watu wa igoma mwanza tunamjua shigongo vizuri tu asiwadanganye
 
Nimeskia hii:
1. J. Zuma ni form 4 ya kwao!
2. Bakhresa wanasema hajamaliza primary sch!
3. Sumaye wanasema alikuwa na diploma wkt anapata u-pm!
4. Wanasema MZEE RUKSA alisoma madrassa tu!

Wanawataja wengi zaidi!

Zuma hajawahi kufika sekondari mkuu, jiridhishe wikipedia.
 
Hata Mh. Lukuvi aliishia la 8 lakini CCM inamtegemea kama kichwa kikuu cha kufikiri. Na mwaka huu naye anatangaza nia ya kugombea U-Rais
 
shigongo aache uongo sikamakuza nsumba boys kidato cha sita asiuhadae ulimwengu watu wa igoma mwanza tunamjua shigongo vizuri tu asiwadanganye

Na mimi ndivyo nilikua najua hivyo sasa nashangaa kuona anaupotosha umma. Dah kweli wabongo hawaishwi vituko.
 
Zuma hajawahi kufika sekondari mkuu, jiridhishe wikipedia.

Zuma did not get a formal education ...wakiwa jela Na Mzee Mandela na Govan Mbeki etc ..akiwa only 12 ...walikuwa wanamfundisha kusoma na kuandika na yeye jioni ..anawaimbisha nyimbo na kucheza...anapenda Sana kuimba nyimbo Za hamasa ya ukombozi ..a true orator ..,story teller and entertainer ....a good listener ...a spy superstar
 
Elimu ni muhimu ili upate pesa. Sema elimu sito lazima uipate darasani katika mfumo rasmi. Unaweza kujifunza kupitia mfumo usio rasmi na ukapata elimu kuliko aliyepita mfumo rasmi

Ni kweli kabisa
 
Umbea ndo biashara yake wateja wake ndo wanamkipa kwa huo unaoita wewe umbea lakini yeye yupo bomba mbaya REAPECT kwake
 

Hakuishia mjini bila sababu mkuu!... Jamaa kaua watu wengi sana huyu kwa kujifanya daktari kwenye kadspensary kake kumbe taaluma yenyewe hana! na hiyo RMA hakuhitimu bali alikimbia mara baada ya kuwa assigned kumuosha vidonda mtu mwenye ukoma kule sikonge Tabora... alivyorudi ndo akafungua dispensary kumbe anatibu "VIJANA WAKE WA KAZI" waliokuwa wakijeruhiwa kwenye matukio ya ujambazi!!!
Njia ya mafanikio ni ndefu, so EJS anaijua njia ya mafanikio yake mwenyewe.... tusitafutane jamani.
 
Kajitahidi ukifananisha na kundi kubwa likiokosa elimu. Lakini apunguze habari za umbeya na uongo kwenye media zake. Credibility ya business inajengwa na clean reputation.

Kuna wengine wengi ambao hawakufika sekondari lakini kwa kujkiendeleza wamefikia hadi kuwa na digri za uzamivu, hao wamesoma kupitia mfumo usio rasmi. Ni madaktari wa ukweli na uwezo wanao. Kama ni kweli Shigongo hakufika sekondari ninamsifu kwa sababu anaonekana ana uwezo mkubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…