Eric Shigongo na Global publishers hii dhambi ya kumfarakanisha Baba Diamond na wanae amto ikwepa.Acheni huu upuuzi mnabomoa

Leak

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2012
Posts
52,916
Reaction score
43,505
Wasalaam wana jamvi..

Kila mtanzania anajua fika kabisa kuwa hakuna mawasiliano mazuri kati ya Baba Diamond na wanae wakina Diamond na Queen Doreen na hakuna anayejua kilichotokea hadi wakafikia kutokuwa karibu au kuwa na maelewano kati yao.

Bahati mbaya tumezungukwa na jamii ambayo inapenda kutoa hukumu na kuchochea mambo kama si kuchonganisha,,,,Matatizo kati ya Baba Diamond na wanae yalikuwa yamemalizwa lakini bahati mbaya zaidi Baba Diamond amekuwa akitumiwa na vyombo vya habari vya shingongo bila kujijua kwa mgongo wa kumsaidia...
Huyu baba ana hitaji sana msaada wa Diamond lakini lazima tukubali kabisa kuwa ifike wakati Shigongo na Global publisher wamuache huyu Baba amalize matatizo yake na wanae bila wao kuingia kati kwa lengo la kuwadhalilisha watoto wa huyu Baba.....

Lengo la Shigongo si kumsaidia huyu Baba bali nikapata pesa kupitia huyu Baba...ni ukweli uliowazi kabisa huyu baba anaweza akatumia njia nzuri tuu kupatana na mwanae na si kukubali kutumiwa na shigongo kupata pesa ili kumshawishi mwane amsaidie,,,,,

Shigongo kama angekuwea na nia ya kumsaidia huyu Baba angelikuwa amelifanya hivyo zamani sana....ni miaka mitatu sasa Shigongo na Global publishers wamekuwa wakichochea huu mtafaruku kwa kumrekodi huyu mzee maneno mabaya dhidi ya wanae na kuyaweka kwenye miatandao....
Nafikiri Shigongo kama kweli ana nia njema na huyu baba basi angempeleka kwanza huyo baba hospitali akapate matibabu kuliko kumzungushia makamera hili kupata pesa....

Shigongo anatakiwa ajue hii dhambi ya kuchonganisha watu haiwezi kumuacha salama maana ana chochea chuki mabya sana ....
Nina hakika hawa watu wangelikuwa katika maelewano mazuri sana baini yao kama sio hii mitando na magazeti ....kwani kwa kiasi kikubwa yamechangia kuongezeka chuki baini yao.

Nichukue fursa hii kumuomba Ndugu Shigongo kuachana na Baba Diamond au mshauri atafute njia nyingine ya kuongea na watoto wake,, Ni vyema Shigongo ukawa mpatanishi mwema tena kwa njia nzuri lakini si hiz ambazo zinakuza chuki na kuchochea uhasama....

Shigongo utapata faida gani au furaha gani hawa watu wakishindwa kuzikana au kusaidiana wakiwa hai? au unasubiri kuandika na kuuza nakala "Baba Diamond afariki kwa kukosa hela ya matibabu ya Miguu", "

Huyu mzee kwaajili ya camera zako shigongo ameshatoa laana na amesha wanenea vibaya sana watoto wake na kuwakana pia....kweli una jenga au una bomoa? unategemea nini?

Shigongo tunaomba umpumzishe Mzee Abduli na umuache atatue matatizo yake mwenyewe bila wewe kuingia kati.

Wasalaam
 
Huyu mpuuzi Erick shigongo na magazeti yake ya udaku kwa kiasi kikubwa ndio yaliyo changia kifo na kupotea kwa Familia Amina ya Mpakanjia...!
Hawa ndio wanao tuharibia pia kizazi hiki lakini inashangaza kuona serikali hawachukui hatua yoyote madhubuti dhidi yake..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Achen chuki kwani shigongo ndo kafanya miguu ya baba yake na diamond ioze au mumekosa kaz wapuuz nyie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lakin Mond ana roho mbaya hata kama Dingi alikosea kawaida mkubwa hakoseagi Mzee alimkosea nn uyu domo ivi uyu Mzee siku akifa Diamond ataendaje kumzika ? Ugomvi Wa wazizi usiingie mpaka kwa watoto.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani kuna ulazima wa mond kwenda mumzika mtu alomkana kwamba sio mwanae? Huku kutakuwa ni kunipendekeza tu... mond bado anamtafuta baba ake halisi na sio huyu mzee wa kufikia.... kwa sababu ye alishajitoaga kwny malezi ya mwanae kwa kusema hamtambui km mwanae... sasa mond afanyaje kwa mfano? Cha kufanya huyo mzee atafute njia nzuri ya kumuomba msamaha na si kumchafua mitandaoni
 
Wasalaam wana jamvi..

Kila mtanzania anajua fika kabisa kuwa hakuna mawasiliano mazuri kati ya Baba Diamond na wanae wakina Diamond na Queen Doreen na hakuna anayejua kilichotokea hadi wakafikia kutokuwa karibu au kuwa na maelewano kati yao.

Bahati mbaya tumezungukwa na jamii ambayo inapenda kutoa hukumu na kuchochea mambo kama si kuchonganisha,,,,Matatizo kati ya Baba Diamond na wanae yalikuwa yamemalizwa lakini bahati mbaya zaidi Baba Diamond amekuwa akitumiwa na vyombo vya habari vya shingongo bila kujijua kwa mgongo wa kumsaidia...
Huyu baba ana hitaji sana msaada wa Diamond lakini lazima tukubali kabisa kuwa ifike wakati Shigongo na Global publisher wamuache huyu Baba amalize matatizo yake na wanae bila wao kuingia kati kwa lengo la kuwadhalilisha watoto wa huyu Baba.....

Lengo la Shigongo si kumsaidia huyu Baba bali nikapata pesa kupitia huyu Baba...ni ukweli uliowazi kabisa huyu baba anaweza akatumia njia nzuri tuu kupatana na mwanae na si kukubali kutumiwa na shigongo kupata pesa ili kumshawishi mwane amsaidie,,,,,

Shigongo kama angekuwea na nia ya kumsaidia huyu Baba angelikuwa amelifanya hivyo zamani sana....ni miaka mitatu sasa Shigongo na Global publishers wamekuwa wakichochea huu mtafaruku kwa kumrekodi huyu mzee maneno mabaya dhidi ya wanae na kuyaweka kwenye miatandao....
Nafikiri Shigongo kama kweli ana nia njema na huyu baba basi angempeleka kwanza huyo baba hospitali akapate matibabu kuliko kumzungushia makamera hili kupata pesa....

Shigongo anatakiwa ajue hii dhambi ya kuchonganisha watu haiwezi kumuacha salama maana ana chochea chuki mabya sana ....
Nina hakika hawa watu wangelikuwa katika maelewano mazuri sana baini yao kama sio hii mitando na magazeti ....kwani kwa kiasi kikubwa yamechangia kuongezeka chuki baini yao.

Nichukue fursa hii kumuomba Ndugu Shigongo kuachana na Baba Diamond au mshauri atafute njia nyingine ya kuongea na watoto wake,, Ni vyema Shigongo ukawa mpatanishi mwema tena kwa njia nzuri lakini si hiz ambazo zinakuza chuki na kuchochea uhasama....

Shigongo utapata faida gani au furaha gani hawa watu wakishindwa kuzikana au kusaidiana wakiwa hai? au unasubiri kuandika na kuuza nakala "Baba Diamond afariki kwa kukosa hela ya matibabu ya Miguu", "

Huyu mzee kwaajili ya camera zako shigongo ameshatoa laana na amesha wanenea vibaya sana watoto wake na kuwakana pia....kweli una jenga au una bomoa? unategemea nini?

Shigongo tunaomba umpumzishe Mzee Abduli na umuache atatue matatizo yake mwenyewe bila wewe kuingia kati.

Wasalaam
Tatizo diamond na baba yake ni waswahili wa kupitiliza na ushamba juu
 
Lakin Mond ana roho mbaya hata kama Dingi alikosea kawaida mkubwa hakoseagi Mzee alimkosea nn uyu domo ivi uyu Mzee siku akifa Diamond ataendaje kumzika ? Ugomvi Wa wazizi usiingie mpaka kwa watoto.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hebu ngoja nikuulize ndugu! Magazeti ya Shigongo yanakuwaga wapi hadi yafahamu kwamba Mzee Abdul anaenda kwa mwanae? Kwa mfano, walifahamu vp kuhusu hiii hapa ambayo Mzee Abudl ameishia mlangoni kama sio kwamba timu ya Shigongo walimpa vipesa ili waende nae?
Global01.png

Hapa chini Shigongo alifahamuje kwamba Baba Diamond alikuwa anataka kwenda hospitali hadi wakapata hizi picha?
Global 02.png

Anaachokisema mleta mada, ningekushauri tazama hii video hususani kuanzia dakika 3:05

Alichokisema Diamond na Mleta Mada kuhusu Mzee Abdul, ni hiki hapa:-

Unaona hapo Mzee Abdul akiwa ametandika suti baada ya kufahamu kwamba anataka kuongea na magazeti ya Shigongo huku akiwa na mwanae wa hiari ambae hata lafudhi ya Kitanzania ameisahau!!! Dada na mwenyewe, na yeye anatumia njia zile zile za Mzee Abdul, kwamba kuongea na Diamond kupitia magazeti ya Shigongo ambayo hata hivyo hawana terms mzuri kati yao!!

My take ni kwamba, anachotakiwa kufanya huyu mzee ni kuachana na hivi vigazeti vya udaku na atumie watu wenye adabu zao kupatanishwa na mwanae!
 
Wasalaam wana jamvi..

Kila mtanzania anajua fika kabisa kuwa hakuna mawasiliano mazuri kati ya Baba Diamond na wanae wakina Diamond na Queen Doreen na hakuna anayejua kilichotokea hadi wakafikia kutokuwa karibu au kuwa na maelewano kati yao.

Bahati mbaya tumezungukwa na jamii ambayo inapenda kutoa hukumu na kuchochea mambo kama si kuchonganisha,,,,Matatizo kati ya Baba Diamond na wanae yalikuwa yamemalizwa lakini bahati mbaya zaidi Baba Diamond amekuwa akitumiwa na vyombo vya habari vya shingongo bila kujijua kwa mgongo wa kumsaidia...
Huyu baba ana hitaji sana msaada wa Diamond lakini lazima tukubali kabisa kuwa ifike wakati Shigongo na Global publisher wamuache huyu Baba amalize matatizo yake na wanae bila wao kuingia kati kwa lengo la kuwadhalilisha watoto wa huyu Baba.....

Lengo la Shigongo si kumsaidia huyu Baba bali nikapata pesa kupitia huyu Baba...ni ukweli uliowazi kabisa huyu baba anaweza akatumia njia nzuri tuu kupatana na mwanae na si kukubali kutumiwa na shigongo kupata pesa ili kumshawishi mwane amsaidie,,,,,

Shigongo kama angekuwea na nia ya kumsaidia huyu Baba angelikuwa amelifanya hivyo zamani sana....ni miaka mitatu sasa Shigongo na Global publishers wamekuwa wakichochea huu mtafaruku kwa kumrekodi huyu mzee maneno mabaya dhidi ya wanae na kuyaweka kwenye miatandao....
Nafikiri Shigongo kama kweli ana nia njema na huyu baba basi angempeleka kwanza huyo baba hospitali akapate matibabu kuliko kumzungushia makamera hili kupata pesa....

Shigongo anatakiwa ajue hii dhambi ya kuchonganisha watu haiwezi kumuacha salama maana ana chochea chuki mabya sana ....
Nina hakika hawa watu wangelikuwa katika maelewano mazuri sana baini yao kama sio hii mitando na magazeti ....kwani kwa kiasi kikubwa yamechangia kuongezeka chuki baini yao.

Nichukue fursa hii kumuomba Ndugu Shigongo kuachana na Baba Diamond au mshauri atafute njia nyingine ya kuongea na watoto wake,, Ni vyema Shigongo ukawa mpatanishi mwema tena kwa njia nzuri lakini si hiz ambazo zinakuza chuki na kuchochea uhasama....

Shigongo utapata faida gani au furaha gani hawa watu wakishindwa kuzikana au kusaidiana wakiwa hai? au unasubiri kuandika na kuuza nakala "Baba Diamond afariki kwa kukosa hela ya matibabu ya Miguu", "

Huyu mzee kwaajili ya camera zako shigongo ameshatoa laana na amesha wanenea vibaya sana watoto wake na kuwakana pia....kweli una jenga au una bomoa? unategemea nini?

Shigongo tunaomba umpumzishe Mzee Abduli na umuache atatue matatizo yake mwenyewe bila wewe kuingia kati.

Wasalaam
Busara ni shani aliyotujaalia manani. Ni juu yetu kuitumia au kutoitumia ila inabidi tufahamu kuwa tunamkosea mungu kwa kufarakisha waja.
 
Lakin Mond ana roho mbaya hata kama Dingi alikosea kawaida mkubwa hakoseagi Mzee alimkosea nn uyu domo ivi uyu Mzee siku akifa Diamond ataendaje kumzika ? Ugomvi Wa wazizi usiingie mpaka kwa watoto.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe umelelewa na wazazi kama kinda la ndege, mambo mengine ni bora ukae kimya tu.
 
Lakin Mond ana roho mbaya hata kama Dingi alikosea kawaida mkubwa hakoseagi Mzee alimkosea nn uyu domo ivi uyu Mzee siku akifa Diamond ataendaje kumzika ? Ugomvi Wa wazizi usiingie mpaka kwa watoto.

Sent using Jamii Forums mobile app
Una chuki isiyo mfano kwa Diamond halafu bado unajifanya una huruma kwa baba yake! Mnafiki unayetumia mlango mbadala kutimiza haja na lengo lako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
SHIGONGO ATAKUJA KUTUAMBIA DIAMOND KWA KUSHIRIKIANE NA MAMA YAKE WAMEMGEUZA PESA MZEE ABDULI...
GLOBAL WAZURI SANA KUTUNGA STORY...
(lakini diamond kakosa nini mpk baba yake anaharibika miguu kiasi kile) darkside of the story inaonyesha kuna mengi.....
 
Kwani kuna ulazima wa mond kwenda mumzika mtu alomkana kwamba sio mwanae? Huku kutakuwa ni kunipendekeza tu... mond bado anamtafuta baba ake halisi na sio huyu mzee wa kufikia.... kwa sababu ye alishajitoaga kwny malezi ya mwanae kwa kusema hamtambui km mwanae... sasa mond afanyaje kwa mfano? Cha kufanya huyo mzee atafute njia nzuri ya kumuomba msamaha na si kumchafua mitandaoni
Hakika...Huyu mzee ana danganywa sana na wakina shigongo lakini anazidi kuharibu
 
SHIGONGO ATAKUJA KUTUAMBIA DIAMOND KWA KUSHIRIKIANE NA MAMA YAKE WAMEMGEUZA PESA MZEE ABDULI...
GLOBAL WAZURI SANA KUTUNGA STORY...
(lakini diamond kakosa nini mpk baba yake anaharibika miguu kiasi kile) darkside of the story inaonyesha kuna mengi.....
Hata mimi kwenye hili la kuoza miguu huyu mzee bado najiuliza nini kimetokea hadi ana fika huku ndio maana mimi naamini hii micamera na magazeti ya Shigongo yamewafikisha hapa
 
Back
Top Bottom