Mphamvu
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 10,702
- 3,319
ni kuhusu gazeti la championi, so far nimeona matangazo mawili makubwa, posters za barabarani! kuna lile la buguruni sheli ambalo limetumia picha ya cristiano ronaldo, halafu kuna lile la mwenge, njia ya kwenda coca-cola ambalo lionel messi ametumika kutangaza gazeti hili.
Sidhani kama maofisa wa biashara wa wachezaji hawa wana taarifa za mabosi wao kutumika kwa matangazo ya biashara, halafu, hapa nchini kuna wachezaji wengi ambao wangeweza kutumika kwenye hayo matangazo, wakalipwa na bado ujumbe ukafika. mbwana samatta, jerson tegete, thomas ulimwengu, mrisho ngassa just to mention the few. cha pili ni kuwa, kwa mtu ambaye ni bingwa wa kujifanya anatoa mafunzo ya ujasiriamali na kufanya maonesho ya uzalendo pale biafra, hereby eric shigongo, kampuni yake inafanya utumbo kama huu.
Nimefadhaika sana, nimedhalilishwa sana kwa hili and there is a wish which i am going to grant, nayo ni kumchongea shigongo kwa messi na ronaldo. naombeni msaada wenu wakuu!