eric shigongo na kupenda mteremko

eric shigongo na kupenda mteremko

Mphamvu

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2011
Posts
10,702
Reaction score
3,319
ni kuhusu gazeti la championi, so far nimeona matangazo mawili makubwa, posters za barabarani! kuna lile la buguruni sheli ambalo limetumia picha ya cristiano ronaldo, halafu kuna lile la mwenge, njia ya kwenda coca-cola ambalo lionel messi ametumika kutangaza gazeti hili.

Sidhani kama maofisa wa biashara wa wachezaji hawa wana taarifa za mabosi wao kutumika kwa matangazo ya biashara, halafu, hapa nchini kuna wachezaji wengi ambao wangeweza kutumika kwenye hayo matangazo, wakalipwa na bado ujumbe ukafika. mbwana samatta, jerson tegete, thomas ulimwengu, mrisho ngassa just to mention the few. cha pili ni kuwa, kwa mtu ambaye ni bingwa wa kujifanya anatoa mafunzo ya ujasiriamali na kufanya maonesho ya uzalendo pale biafra, hereby eric shigongo, kampuni yake inafanya utumbo kama huu.

Nimefadhaika sana, nimedhalilishwa sana kwa hili and there is a wish which i am going to grant, nayo ni kumchongea shigongo kwa messi na ronaldo. naombeni msaada wenu wakuu!
 
Mp,hahahahahahah
kila la kheri!lile bango la mwenge lilivyo 2 limejichokea,halina mvuto kiviiile!
 
Mp,hahahahahahah
kila la kheri!lile bango la mwenge lilivyo 2 limejichokea,halina mvuto kiviiile!

nikitekeleza maazimio yangu nakuwa nimeua ndege wawili kwa jiwe moja, nakuwa nimewakomoa na pia tuthamini wa kwetu, yale matangazo ni part ya cv, it coud be mbwana there na sio kina cr07
 
Unajua sometimes Theory ni rahisi kuliko Practical. Kuna mwalimu mmoja wa chuo kikuu anafundisha 'ujasiriamali,ila anasema yeye mwenyewe kuyafanya yale anayofundisha ni kazi.
Uenda bwana Shigongo akawa hafahamu mambo yanayohusu sheria za kibiashara au anafahamu lakini anakwepa.
 
lakini angalau lazima imgharimu, ile ni kampuni, haiwezekani kampuni isiwe na mtaalam anayejua sheria za biashara... nahitaji contakt za messi na cr07
 
Uvivu wa kufikiri ndio unaokusumbua.
Hata ukienda vijijini leo hii, Ronaldo na Messi ndio wanaojulikana zaidi kuliko hata huyo Samata na Ngasa, ni kwasa babu Watanzania siku hizi hawafuatilii tena ligi ya hapa Nyumbani, watu wanafuatilia ligi za Ulaya.
Hayo mabango unayoyaona na picha za wachezaji wa Ulaya ni Mbinu tu za kibiashara ili kuteka Soko la Walaji/watumiaji wa bidhaa husika kulingana na Mapenzi walionayo kwa hao kina Ronaldo na Messi.
 
hayo mapenzi ya walaji wa messi na cr07 yametokana na mawazo ya kinyesi kama yako. kila mpenzi wa soka anamjua samatta, na kama wanawataka hao wa ulaya wawalipe haki yao sio kuwatumia bure. tumeona ngassa ametengeneza tangazo la malaria, mgosi akatoka na sippy soda, kwanini championi.
 
Una uhakika gani kama Shigongo hajawalipa hao jamaa?kabla ua kuandika hapa ulipaswa kumuuliza Shigongo au msemaji wake kama kawalipa hao jamaa au la. No data to right to speak.
 
Una uhakika gani kama Shigongo hajawalipa hao jamaa?kabla ua kuandika hapa ulipaswa kumuuliza Shigongo au msemaji wake kama kawalipa hao jamaa au la. No data to right to speak.

naona umekuja kubishana na great thinking zako na kunakili. john legend alipokuja kufanya video zanzibar kila mtu alijua, sembuse global publishers kuwapa mkataba the big 2? halafu, rates za malipo kwa wale wachezaji zinajulikana, na faida ya globo pablishaz inakadirika. kwa kichwa nazi chako inakuingia akilini kuwa gp na cr07 wanaweza kukaa meza moja na kufanya biashara?
 
hayo mapenzi ya walaji wa messi na cr07 yametokana na mawazo ya kinyesi kama yako. kila mpenzi wa soka anamjua samatta, na kama wanawataka hao wa ulaya wawalipe haki yao sio kuwatumia bure. tumeona ngassa ametengeneza tangazo la malaria, mgosi akatoka na sippy soda, kwanini championi.

Kwa taarifa yako Samatta au mchezaji yeyote wa Tanzania hajulikani isipokuwa kwa mashabiki tu, kaulize hata huko vijijini nani asiyewajua hawa CR7 and Messi awe mfatiliaji asiwe mfuatiliaji. Marketing is business dogo, hayo mawazo yako ya kizamani sana.

Leo hii ukimuuliza mtoto wa suhule ya msingi kati ya kumi watatu-nne wanaijua liasti ya Man U, Arsenal au Chelsea. Ulizia ya Yanga au Simba utakuta ni mmoja kati ya 30.
 
Sasa kama hawezi kaa pamoja mbona mnapiga kelele na midomo yenu inayonuka? Let Eric do what he can do. Stop complaining you stupid morrons.
 
nakubali, sasa unafkiri it rouse from no where mpaka wachezaji wetu wakawa hawajulikani? miaka zaidi ya 20 tangu tv broadcasting iteke soko, lakini hakuna live coverage ya ligi ya nyumbani., timu za yanga na simba haziafikiria hata kuuza jezi zao kwa faida, gtv walileta nafash ya kurusha vpl, viongozi wa tff wakaleta njaa zao chance ikayoyoma! wapumbavu kama shigongo badala ya kutumia nafasi walizo nazo kuephasize watu kupenda vya kwetu, ndo wanazidi kuweka ligi za ulaya kwenye front page, na kuweka mastaa wa ulaya kwenye posters mabarabarani, tutafika huko walio wenzetu kweli?
 
Sasa kama hawezi kaa pamoja mbona mnapiga kelele na midomo yenu inayonuka? Let Eric do what he can do. Stop complaining you stupid morrons.

sawa domo kaya! ni ushabiki ndio unaokusumbua, hakuna anayelalamika, ila tunataka huyo mumeo eric afanye what he could do lakini katika respectable manner. huo ni uwizi na utapeli kwa kupenda vya dezo kuweka just picha za kwenye mtandao. by tha way, afanye biashara na anaoweza kukaa nao, hereby, mrisho ngassa, kago gervais, juma kaseja et al. mbona zanzibar telecom, airtel, wameweza kuwatumia stars wa nyumbani?
 
cha kukusaidia ni kutuma ilo ombi lako kwenye fb au twitter fan page utawapata kila la kheli..
 
mkuu google messi website wape taarifa jamaa achukuliwe hatua'anapiga kelele za kufundisha ujasiriamali kumbe hawezi

yep! hapo umenipa la maana, nitafanya hivyo tena na ushahidi wa picha. hawa ndo wanaua kila kitu cha ndani kwa kuendekeza vya nje!
 
cha kukusaidia ni kutuma ilo ombi lako kwenye fb au twitter fan page utawapata kila la kheli..

nimeconsider ushauri wako, ila hzi social networ, fb kwa mfano, kuna watu wengi wanajiita messi. nadhani nitatumia website za wahusika!
 
Back
Top Bottom