PreGE2025 Eric Shigongo: Rais Samia amefanikiwa kuurejesha uchumi wa nchi mahali ulipokuwepo kabla ya janga la Corona

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo amewaambia wananchi wa Buchosa kuwa Rais Samia Suluhu Hassan amefanikiwa kuurejesha uchumi wa nchi mahali ulipokuwepo kabla ya janga la Corona.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Amesema hilo linatosha kumfanya kila mwananchi awe na matumaini makubwa ya kuwa nchi itaendelea kusonga mbele kimaendeleo kwa kasi kubwa.

Muite Eric chawa Samiaaa
 
kila takataka ya ccm inaongea lake as long as it entails kumsifia Hangaya!
 
Back
Top Bottom