The Watchman JF-Expert Member Joined Nov 7, 2023 Posts 2,186 Reaction score 4,940 Apr 25, 2025 #1 Mbunge wa jimbo la Buchosa Anasema yeye hawezi kujivuna kwamba amejenga shule kwa sababu hana fedha za kutoka mfukoni kwake za kujenga shule bali fedha zimepelekwa na Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan na yeye ndiye anayestahili kusifiwa. Pia soma: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 Your browser is not able to display this video.
Mbunge wa jimbo la Buchosa Anasema yeye hawezi kujivuna kwamba amejenga shule kwa sababu hana fedha za kutoka mfukoni kwake za kujenga shule bali fedha zimepelekwa na Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan na yeye ndiye anayestahili kusifiwa. Pia soma: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 Your browser is not able to display this video.
P patrickk JF-Expert Member Joined Jun 25, 2012 Posts 745 Reaction score 5,931 Apr 25, 2025 #2 Kwa hio Samia ndo ana za mfukoni kwake? Wananchi wanalipa Kodi, watawala wakitekeleza majukumu Yao kupitia hizo Kodi wanatusimanga kweli utasema hizo Hela wanatoa wao
Kwa hio Samia ndo ana za mfukoni kwake? Wananchi wanalipa Kodi, watawala wakitekeleza majukumu Yao kupitia hizo Kodi wanatusimanga kweli utasema hizo Hela wanatoa wao