Pre GE2025 Eric Shigongo: Tanzania ni nchi tajiri siyo sawa wananchi wake kuwa masikini

Pre GE2025 Eric Shigongo: Tanzania ni nchi tajiri siyo sawa wananchi wake kuwa masikini

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

The Watchman

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
896
Reaction score
1,427
"Tanzania ni nchi tajiri sana,Tanzania kwa gesi asilia duniani ni nchi ya 82, Tanzania duniani kwa makaa ya mawe ni nchi ya 50 kwa dhahabu ni nchi ya 22, kwa almasi ni nchi ya 10 kwa helium gesi ni nchi ya kwanza kwa madini ya Tanzanite, ni nchi ya kwanza kwa utalii ni nchi ya pili inaifuata Brazil."
Kwa utajiri kama huu nchi tajiri kama hii kuwa maskini sio sawa sawa hauwezi kuwa unakalia utajiri huu na wananchi wako ni maskini Changamoto tuliyonayo Afrika ni uwezo wa kutumia rasilimali ambazo mungu ametupa kuzibadilisha kuwa fedha zilete maendeleo"

Eric Shigongo Mbunge wa Jimbo la Buchosa akizungumza leo Februari 22 na waandishi wa habari jijini Dar Es Salaam
20250222_193508.jpg
 
Back
Top Bottom