digba sowey
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 8,926
- 17,880
Hahaha..dawa inaingia hasa, maigizo ya hovyo kushinda ya kwako humu kuandika na kujijibu mwenyewe.Maigizo yao hayana viwango!!!
Akina jingalao Wakudadavuwa Kawe Alumni Barbarosa Magonjwa Mtambuka YEHODAYA nk lazima watoke kapa!mtu wa kawaida kugundua hii futuhi ni shiida...!
Sheria haiangalii hizo mambo mkuu. Ni sheet by sheet. Clause by clause. Hazina emotions.Kwenye hizo kazi zake baadaye akionesha tu kuwa alikiri makosa katika utawala wa JPM basi anaeleweka upesi mno!
Mungu wabariki WazunguAdui wa Taifa hili na watu wake ni Jiwe.
Awamu hii itawekewa exemption maana inaongoza kwa uvunjaji wa haki za binadamu!Case kama ya kabendera inajulikana na wengi,sioni shirika la kibeberu likikataa kufanya kazi na kabendera kisa huu upuuzi!Hao hao mabeberu ndio wamefanya Kabendera awe huru leo hii!Sheria haiangalii hizo mambo mkuu. Ni sheet by sheet. Clause by clause. Hazina emotions.
Kukiri kosa ni jambo zito sana mkuu. Msisitizo wangu uko hapo tu. Hao mabeberu wangekuwa ndio wamesababisha basi wangelitambua hilo. Mbona wengine hawakiri makosa? Ruge na Seth wamegoma waziwazi kukiri makosa. Mabeberu wana interest gani na Kabendera?Awamu hii itawekewa exemption maana inaongoza kwa uvunjaji wa haki za binadamu!Case kama ya kabendera inajulikana na wengi,sioni shirika la kibeberu likikataa kufanya kazi na kabendera kisa huu upuuzi!Hao hao mabeberu ndio wamefanya Kabendera awe huru leo hii!
Jiulize,kwanini Kabendera alikataliwa mara ya kwanza alipokiri?Kwanini sasa?Think big!
Inamaana hujui mabeberu walivyo macho sana na waandishi wa habari?Hili linajulikana mbona!Ukigusa wanahabari basi utaona nguvu yao!We fikiri kila siku kesi ilipokuwa inatajwa walikuwa wanatuma watu wao na tuliwaona!Kukiri kosa ni jambo zito sana mkuu. Msisitizo wangu uko hapo tu. Hao mabeberu wangekuwa ndio wamesababisha basi wangelitambua hilo. Mbona wengine hawakiri makosa? Ruge na Seth wamegoma waziwazi kukiri makosa. Mabeberu wana interest gani na Kabendera?
Something feels off..
Ungekuwa wewe uko ndani,usingenunua uhuru wako?Hao akina Ruge huwezi jua,pengine wanataka waziache familia zao na utajiri!Kukiri kosa ni jambo zito sana mkuu. Msisitizo wangu uko hapo tu. Hao mabeberu wangekuwa ndio wamesababisha basi wangelitambua hilo. Mbona wengine hawakiri makosa? Ruge na Seth wamegoma waziwazi kukiri makosa. Mabeberu wana interest gani na Kabendera?
Something feels off..