Erick Kabendera aachiwa huru baada ya kukiri makosa na kufutiwa shtaka

Interest,
Kwenye hizo kazi zake baadaye akionesha tu kuwa alikiri makosa katika utawala wa JPM basi anaeleweka upesi mno!
 
Sheria haiangalii hizo mambo mkuu. Ni sheet by sheet. Clause by clause. Hazina emotions.
 
Awamu hii itawekewa exemption maana inaongoza kwa uvunjaji wa haki za binadamu!Case kama ya kabendera inajulikana na wengi,sioni shirika la kibeberu likikataa kufanya kazi na kabendera kisa huu upuuzi!Hao hao mabeberu ndio wamefanya Kabendera awe huru leo hii!
Jiulize,kwanini Kabendera alikataliwa mara ya kwanza alipokiri?Kwanini sasa?Think big!
 
Kukiri kosa ni jambo zito sana mkuu. Msisitizo wangu uko hapo tu. Hao mabeberu wangekuwa ndio wamesababisha basi wangelitambua hilo. Mbona wengine hawakiri makosa? Ruge na Seth wamegoma waziwazi kukiri makosa. Mabeberu wana interest gani na Kabendera?

Something feels off..
 
Ela ipo hao washaiona ipo mahali atalipa tu.120 mil katoa 29 mil kila mwezi atatoa jamaa washa calculate ana mil 200+hapo wanachukua zote labda ahame
 
Wako wapi akina Mandela wa leo ambao hawawezi kupokea rushwa ya kuachiwa huru kwa gharama ya dhamira zao wenyewe?
 
Kukiri kosa ni jambo zito sana mkuu. Msisitizo wangu uko hapo tu. Hao mabeberu wangekuwa ndio wamesababisha basi wangelitambua hilo. Mbona wengine hawakiri makosa? Ruge na Seth wamegoma waziwazi kukiri makosa. Mabeberu wana interest gani na Kabendera?

Something feels off..
Inamaana hujui mabeberu walivyo macho sana na waandishi wa habari?Hili linajulikana mbona!Ukigusa wanahabari basi utaona nguvu yao!We fikiri kila siku kesi ilipokuwa inatajwa walikuwa wanatuma watu wao na tuliwaona!
 
Kukiri kosa ni jambo zito sana mkuu. Msisitizo wangu uko hapo tu. Hao mabeberu wangekuwa ndio wamesababisha basi wangelitambua hilo. Mbona wengine hawakiri makosa? Ruge na Seth wamegoma waziwazi kukiri makosa. Mabeberu wana interest gani na Kabendera?

Something feels off..
Ungekuwa wewe uko ndani,usingenunua uhuru wako?Hao akina Ruge huwezi jua,pengine wanataka waziache familia zao na utajiri!
 
Back
Top Bottom