Erick Kabendera aachiwa huru baada ya kukiri makosa na kufutiwa shtaka

Eti Kabendera alipokea bilioni 1 ili amchafue magufuli, huo uongo huo mnatungia vyoo vya Lumumba??? !! Inawezekana kweli alikuwa analipwa kwa kazi ya uandishi wa kiuchunguzi ila sio bilioni 1, mjipange upya.

Na Tundu Lisu mliyetaka kumuua alipokea sh.ngapi kutoka kwa mabeberu???!!

Kabendera hajamchafua magufuli, magufuli anajichafua mwenyewe kwa kauli zake na maamuzi ambayo huwa hatumii busara kabisa. Hii ni nchi sio familia yake!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unafikiri kuna kosa gani hapo kwa hayo aliyoyafanya kabendera? Kuingiziwa pesa sio kosa... Ishu ni kuaa huwezi mkaamata mtu ukamshitaki kwa kuuza siri, so utatafutiwa kesi nyingine
 
Jambo usilolijua nikama...mpaka ma-bibi sii na ma-docho wele wakawa wanapiga keleele kumbe chalii alicheza michezo michafu yakutakatisha fedha!!
Anaandika habari na watu za uchunguzi huku yeye anamakandokando kibao hajichunguzi hakujua muosha huoshwa!! Kwahali hiyo nirahisi kuwa na wasiwasi na uraia wake kwakweli.
Waandishi baadhi hutumika sana kuporomosha wanasiasa wanaojitahidi kuwa na misimamo ya kukataa milungula, huwapakazia na kuwachafua ili majizi hasa maberuberu yajipenyeze na kuiibia. Basi maberberu wamlipie izohela kijana aje mtaani tulime aache upaparazi uchwara na siasa za kikabwe-kabwe!!
 
Mtu kuhamishia ofisi nyumbani kwake ni kosa linaloweza kuhalalisha adhabu kubwa hivyo na hiyo inaingiaje kwenye utakatishaji pesa au uhujumu uchumi?

Hii sheria ya utakatishaji fedha na uhujumu uchumi inatumika kukomoa maadui wa huu utawala na wahanga hulazimishwa 'Under Duress' kukiri kosa ili watumie pesa kununua uhuru wao.
It's a clear source of revenue to the government.
 
What has been done to Kabendera is awful. Justice should not be used to suit a political intimidation and silencing the would be free speach
 

Hii dunia bwana,mwenye madaraka atatetewa hata aue,walafi kama Mchange watamtetea

Punguani Mchange!

Nasikia kuna punga moja linasema kumkosoa mawe ni kumkosoa Mungu!Aisee kwa sisi atheists we dont give a shit,sijui nyie watu wa dini mpo offended kiasi gani.....

Unafiki huleta kifo!
 
Huyu kaflag ni mtu kama askari wa kukodishwa. Aliandikia gazeti la kibeberu the economics mambo wanayotaka kuhusu magufuli akijua kabisa ni uongo ili mradi analipwa. Alidiriki hadi kuomba jumuia ya kimataifa eti isaidie kumtoa magufuli madarakani. Magufuli tunu nyingine ya nchi kwa jinsi anavyoongoza nchi vizuri eti ang'olewe ni dikteta.
Alaamiwe kaflag na wapinga maendeleo wote kama zitto na tundulisu
 
Kama maamuzi ya magufuli yana tija kwa nchi wananchi hawana shida. Sasa wewe unayeuliza kama ni nchi yake binafsi wewe kwani nchi hii yako? Yeye ni rais wananchi wamempa ridhaa kama unaona shida hama nchi
 
Unataka kujua yote hayo kwanini...Kuna wangapi Kama kabendera lakini mko kimya??
 
Nimeachwa hoi! Yaani, kila kitu alichokuwa anakifanya Kabendela, alikuwa anamfahamisha Zitto? Maanake, tunaambiwa, ZITTO ULIJUA, ZITTO ULIJUA, ZITTO ULIJUA!
Na sikutegemea siku moja Mchange atakuja mgeuka Zitto kwa kiasi hiki.
 
HIVI MAREKANI NDIO MBINGUNI?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu yangu umetumia fact kukiko porojo hongera sana kwa ufafanuzi huu.Kamahiki ulichokiandika ni ukweli hakika serikali haikumuonea.Tunaomba wanaopaswa kulitolea ufafanuzi jambo hili basi watekeleze ili kuondoa upotoshaji juu ya kile inachofanya serikali.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Who are you by the way ?
Keep on asking babe! Ila huyu Kabendera ashukuru Mungu Serikali iliyopo madarakani ni ya Kidemokrasia na yenye kuzingatia Utawala Bora na Haki za Kibinadamu. Ningelikuwa mimi ndiye Mkulu wa Nji hii, Angelikuwa historia!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…