Nehemia Kilave
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 1,414
- 3,118
Ukienda hospital ukiwa unachemka na kichwa kinauma ukiambiwa una malaria unapata relief shida imeonekana.
Ukienda kwa Mganga umefiwa mtoto mkawa mnamuhisi jirani na mganga akawaambia yule jirani asiye na mtoto ndiye kamuondoa mnapata nguvu mbaya wenu kajulikana.
Kitabu cha IN THE NAME OF THE PRESIDENT cha Erick Kabendera kimebeba majibu ya hisia za watu hivyo ni vyema hisia zikawekwa pembeni ni kujiridhisha kuhusu ukweli wake au uongo wake.