Erick Kabendera ametupa yale tuliyopenda kuyasikia kuhusu Hayati Magufuli; yasitufanye tukashindwa endelea tafuta ukweli

Erick Kabendera ametupa yale tuliyopenda kuyasikia kuhusu Hayati Magufuli; yasitufanye tukashindwa endelea tafuta ukweli

Kama Magufuli alianza kuuwa watu kwa mikono yake tena Ikulu basi Samia anamzidi akili kwa kuua na kwenda kutupa kwenye mbuga za Wanyama ili Fisi wale mpaka mifupa.
 
Hata kama ni udikteta,ila hakuna mjinga anaweza kufanya kama alichoandika Erick kwamba alimteka na kumpeleka ikulu na kumpiga risasi mwenyewe...........kwa uelewa wangu dicteta anakuwa na watu wake wanaofanya hivyo movements
Upo sahii

Kwakua ni mwana habari za kiuchunguzi, ilitakiwa achunguze ben sanane alitowekaje na alichukuliwa na akina nani mpaka kufika ikulu mikononi mwa JPM
 
Sawa, ila bado ni assumption. Hazina nguvu ya kumpiga Kabendera knock out kwa taarifa aliyoandika.

TAL alipopigwa risasi kuna watu tulipata tabu kuamini kuwa ni kazi ya serikali sababu tunajua Serikali ikitaka kukuua haina sababu ya kutumia marisasi mengi yasiyo na shabaha ilihali ina wataalam wa kuua kwa risasi za mbali zenye shabaha. Lakini je, ni kweli serikali haikuhusika? Zinabaki kuwa assumption.
Serikali hii haina wadunguaji wa mbali, ulishasikia wammdungua nani, utasikia alipigwa risasi akipambana na polisi, au alitaka kikimbia bahati mbaya akapigwa risasi ya mgongoni badala ya mguu, au wanakufata kama mzee Kibao
 
Sijakisoma na wala sitakisoma maana tayari kinaonekana kimebeba hisia za mtu ma tayari kimehakisi hasira na hatia za mtunzi wa kitabu.

Yaani ni sawa na unatumga kitabu kisa babako alikuchapa sana ukiwa chini ya himaya yake.

Unaenda huko kijijini kwenu (kwa babako) kwenda kufuatilia maisha yake kisa ni kumchafua sababu "alikuua" kwenye malezi yake, 😂 ahahahah!.

Bado naendelea kujifunza!.
True
 
Mwandishi anajulikana ni kibaraka wa mabeberu. Hakuna Mtanzania mwenye akili timamu atahangaika naye.
Inajulikana Ulimwenguni Hayat Rais John Pombe Magufuli hakuwa mwanasiasa. Vilevile Inajulikana fika, Hayati J.P.M alikuwa ni KIONGOZI.

Kuna tofauti kati ya mtu Mwanasiasa anayetambulika kama kiongozi na wale wanaoitwa 'Kiongozi' kwa sababu tu ya cheo chake/vyeo vyao-mifano ni mingi sana.

Hatahivyo...
Historia yetu inaonyesha, Watanzania tumebarikiwa kuwa na watu wawili ambao wana stahaili kuitwa Viongozi iwe ni uongozi kwenye Elimu, Siasa, ama Lugha, na yote yanayohusiana na Uongozi.

Viongozi hao ni Marehemu Rais J.K Nyerere na Hayat Rais J. P. Magufuli. Period.

Vilevile, inajulikana Ulimwenguni, Viongozi wa Afrika waliotambulika huko nyuma na leo kama Viongozi-WALIULIWA na KUUWAWA(ASSASINATED) na MABEBERU. Kwasababu tu waliweza kuwaamsha wananchi wao ku ukataaa ubeberu(Hata Raisi ajaye Marekani anaukataa ama anaukana ubeberu) na wamejaribu kumuondoa ama sio?? Hakuna kipangamizi.

Haijalishi.

Mkuu, Sangudi, naafiki na kukubaliana na sentesi zako/maoni yako,

Kabendera anatumika kuuzima moto aliowasha Magufuli kamavile Nationalism, Fiscal Responsibility, Anti-Corruption in Governance, and Social Justice.. Ongeza zako.

Moto huu, unawaka, kuanzia Europa, Asia, Americas etc. moto huo unawaka. In essence, Magulification is Real.

Itoshe, kampeni za kumchafua Magufuli (smear campaign) ma Psycho Ops zinafanywa na mabeberu, pamoja na vibaraka wao kama Kabendera na Erythrocyte, Mshana JR na wengine wengi tu hapa JF. Hawatashinda KAMWE.
Ni kweli, hakuna Mtanzania mwenye akili timamu atahangaika na Uongo, Uchafu, na siasa zingine za majitaka kuhusu "KIONGOZI" wetu Hayat Rais J.P.M(pumzika kwa amani kaka)
 
Ukienda hospital ukiwa unachemka na kichwa kinauma ukiambiwa una malaria unapata relief shida imeonekana.

Ukienda kwa Mganga umefiwa mtoto mkawa mnamuhisi jirani na mganga akawaambia yule jirani asiye na mtoto ndiye kamuondoa mnapata nguvu mbaya wenu kajulikana.

Kitabu cha IN THE NAME OF THE PRESIDENT cha Erick Kabendera kimebeba majibu ya hisia za watu hivyo ni vyema hisia zikawekwa pembeni ni kujiridhisha kuhusu ukweli wake au uongo wake.
Ukiambiwa magufili hakupandisha vyeo watumishi wa umma utabisha?
 
Kabendera amepiga kwenye mshono daadeki jitu lilikuwa linauwa watu hovyo kama nn
 
Back
Top Bottom