Nehemia Kilave
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 1,414
- 3,118
Kuchaguliwa kwa kura nyingi haimaanishi ndio mna mjua kiundani.Pointi yako ni hipi mkuu? Kwahiyo kabendera ndo anajifanya anamjua aliyewahi kuwa mkuu wa nchi kachaguliwa na wananchi kwa kura nyingi awamu ya kwanza alafu awamu ya pili wananchi wakamchagua kwa kura nyingi!!
Ameandika kwa kuongozwa na chuki tuMwandishi anajulikana ni kibaraka wa mabeberu. Hakuna Mtanzania mwenye akili timamu atahangaika naye.
"udumavu mkubwa sana wa akili" hili lina ka ukweli kiasi maana watu hawataki kupigania hali zao kama akina Eric na Lissu.Hii kitu ya hiki kitabu imenishangaza sana nadhani Tanzania tuna udumavu mkubwa sana wa akili
We ni muhaya nini! Mana wahaya nfo huwa wanaandika ni hipi badala ya ipiPointi yako ni hipi mkuu? Kwahiyo kabendera ndo anajifanya anamjua aliyewahi kuwa mkuu wa nchi kachaguliwa na wananchi kwa kura nyingi awamu ya kwanza alafu awamu ya pili wananchi wakamchagua kwa kura nyingi!!
Wewe ni kachero kweli?Kuchaguliwa kwa kura nyingi haimaanishi ndio mna mjua kiundani.
Kura ni kama selection cretiris tu, haimaanisha anae pass mna mjua sana
Mageuzi gani yalifanyika??Mageuzi hua lazima yaje na maumivu, bahati mbaya yeye akawa ni watu ambao wanatakiwa kuumia. Saivi anaugulia maumivu akiwa nje ya taifa lake, tutafika tu
Who said mimi ni kachero?Wewe ni kachero kweli?
Hujui hata kilichotokea October 2015 πππ
Hasa kwa wale mnaopinga utafiti wa Kabendera bila kufanya utafitiHii kitu ya hiki kitabu imenishangaza sana nadhani Tanzania tuna udumavu mkubwa sana wa akili
Point yako hapa ni ipi? Kwamba sifa ya mkuu wa nchi 'aliyechaguliwa' na wananchi wengi ni kutojulikana na wanao mchagua?Pointi yako ni hipi mkuu? Kwahiyo kabendera ndo anajifanya anamjua aliyewahi kuwa mkuu wa nchi kachaguliwa na wananchi kwa kura nyingi awamu ya kwanza alafu awamu ya pili wananchi wakamchagua kwa kura nyingi!!
IN THE NAME OF THE PRESIDENTPointi yako ni hipi mkuu? Kwahiyo kabendera ndo anajifanya anamjua aliyewahi kuwa mkuu wa nchi kachaguliwa na wananchi kwa kura nyingi awamu ya kwanza alafu awamu ya pili wananchi wakamchagua kwa kura nyingi!!