Bams
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 19,362
- 48,879
Wale wote hawakuwa majaji bali ni hao TISS ambao marehemu aliwajaza mahakamani ili wawe wanatoa hukumu kwa kadiri ya maelekezo yake.Hivi lile li Jaji linaitwaje la Mbowe? Yako mawili, moja lilianza na kutokomea ghafla na lingine likamalizia. Linaitwaje vile