Erick Kabendera atoa maoni yake kwa Tume ya Haki Jinai, Adai Mahakimu wa Mahakama wanaiogopa ofisi ya DPP

Erick Kabendera atoa maoni yake kwa Tume ya Haki Jinai, Adai Mahakimu wa Mahakama wanaiogopa ofisi ya DPP

Mtanzania aliyekimbia Nchi yake kutokana na kuzorota kwa usalama wake ,kulikochangiwa na watawala , Ndugu Erick Kabendera , ametoa maoni yake kwenye Tume ya haki jinai na kufumua mazito sana...
DPP ajiandae
 
Kukutwa na kesi ya kujibu sio kukutwa na hatia,ukijitetea ndiyo mahakama inapima.
Ktk rekodi za Mbowe hamna mahali ita onyesha kawahi kutwa na hatia ya ugaidi.

Briefly,unaweza tuambia tuhuma za ugaidi za Mbowe ilikuaje?Huo ni ugaidi au ni tuhuma za ‘kutaka’ kufanya ugaidi?
Jaji sio mjinga akikuambia unakesi ya kujibu maana mashtaka yako yanamshiko sasa si ndo kesi ikaondolewa
 
Unajua hoja ni nini hapa au umeshapotea baada ya mjadala kwa mrefu? Maana huwa nakujua ni bingwa wa kupoteza focus mjadala ukiwa mrefu?
Si umeona amemkote mtu ndugu au umekunywa mbege ,
 
Rubbish! Pale hapakuwa na kesi yote. Rais anapaswa kuviwajibisha vyombo vilivyomdanganya na kumpotosha kuwa walikuwa na kesi na hatimaye kumdhalilisha Rais wetu...
Unaoweza kukuta wew ndo rabishi .hivi unajua mbowe alinguka dodoma kalewa chakari halafu akasingizia kuwa amevamiwa tumia kichwa chako
 
Hakujua! Angekuwa ameijua vizuri hiyo kesi asingeiambia BBC kuwa wenzake Mbowe walishafungwa wakati yeye akiwa nje ya nchi!
Kuijua vizuri kwa maana ipi?
Kuielewa kiundani au kujua ni ya mchongo tu?
 
View attachment 2567069
Picha: Erick Kabendera

Mtanzania aliyekimbia Nchi yake kutokana na kuzorota kwa usalama wake ,kulikochangiwa na watawala, Ndugu Erick Kabendera, ametoa maoni yake kwenye Tume ya haki jinai na kufumua mazito sana .

Kabenderavamefichua mbele ya Tume hiyo kwamba , kumbe siku zote Mahakimu huwaogopa waendesha mashitaka kiasi cha kudhulumu haki za Watuhumiwa , yaani hata kama mtuhumiwa ni dhahiri anaonewa hata akiwa Mahakamani, Mh Hakimu hawezi kumsaidia kwa vile anawaogopa waendesha mashitaka , bali hakusema sababu hasa za Mahakimu kuwatetemekea waendesha mashitaka hao .

Pamoja na hilo Kabendera anasema kwa miezi 7 aliyolundikwa gerezani hakuona mahali popote ambapo panaelekeza mtuhumiwa kutoa maoni yake kuhusu utendaji wa Jeshi la Polisi .

Amependekeza kiundwe chombo Maalum cha kupokea malalamiko ya wananchi juu ya utendaji wa Jeshi la Polisi , kumbukeni kwamba hakuna mahali popote ambapo unaweza kupeleka malalamiko ya Utendaji wa Jeshi la polisi bila koneksheni ya viongozi wa CCM.

Mwisho Kabendera ameahidi kurejea Tanzania pale atakapohakikisha kweli kwamba Usalama wake utalindwa .

Chanzo: Azam Media
Sasa hapo ameongea nini? Kwani uko aliko kuna chombo gani cha kuangalia mwenendo wa utendaji wa Polisi?
 
Kwani Magufuli ndio alimfungulia kesi Mbowe? Huyo aliemfungilia kesi sio kichaa?

Mtambue kua jinai haifi isipokua uko cleared na mahakama.

Mbowe akaona achague njia rahisi kuuza haki zake chini ya mwamvuli wa makubaliano. Akiingia DPP na rais mwingine Mbowe anarudi jela.

Hapa ishu ni jinai, sio rais.
Sielewi kwa kesi ya ugaidi, kama nakumbuka vyema yalifanyika marekebisho ya sheria kuwa DPP akikuachia kwa kufuta kesi haruhusiwi tena kukukamata kwa kesi hiyo hiyo. Wanaokumbuka vizuri hasa Wanasheria kuhusu marekebisho hayo watusaidie.
 
Wewe taahira aliemfungilia kesi Mbowe ni Samia na huyo huyo akaiondoa kesi mahakamani.

Mbowe kesi yake ya ugaidi haijafa, imetulizwa tu.

Na mojawapo ya makubaliano walioingia ni aondolewe kesi akubali masharti. Asipige pige kelele. Kelele ikizidi tu DPP anamrudisha Mbowe jela.

Akiingia rais mwingine na DPP mwingine wakapitia ushahidi, Mbowe anarudi jela.
Wewe mipango ya kesi hiyo alianzisha yule bwanako mwendakuzimu acha upuuzi!
 
Jaji sio mjinga akikuambia unakesi ya kujibu maana mashtaka yako yanamshiko sasa si ndo kesi ikaondolewa

Kesi kibao Jaji anasema una kesi ya kujibu kisha ukijitetea kwa kuita mashahidi pande zote mbili mtu anashinda kesi.

Kesi ya Mbowe ilikua kesi ya hovyo kwa taifa hili kupata kuishuhudia
 
Kesi ya ugaidi ya Mbowe ni ipi hasa?

Kula njama kwenda Morogoro kukata miti msituni kisha kuileta mjini na kuipanga barabarani?Kwako hiyo ndiyo kesi ya ugaidi?

Kesi ya Mbowe ilikua utumbo mtupu.Mama kamfukuza kazi jasusi wa hovyo Diwan Athuman kwa kumshauri vibaya na kesi ya kipuuzi kama ile haiwezi rudi tena labda yule pimbi wa Chato afufuke
Kweli kesi ya ugaidi kwa laki 7?wakati hata halitosis kununua baruti
 
Back
Top Bottom