Erick Kabendera atoa maoni yake kwa Tume ya Haki Jinai, Adai Mahakimu wa Mahakama wanaiogopa ofisi ya DPP

Erick Kabendera atoa maoni yake kwa Tume ya Haki Jinai, Adai Mahakimu wa Mahakama wanaiogopa ofisi ya DPP

Sasa lini yeye Samia aliwahi kukiri kuwa ana shauriwa vibaya hadi nyie muone kuwa tatizo ni washauri wake na si yeye?

Lazima aje akuambie ww nyumbani kwako ndio ujue kakiri? Aliyewaambia waandishi wa habari yuko tayari kukosolewa, na serikali yake iko tayari kukosolewa ni nani?
 
Lazima aje akuambie ww nyumbani kwako ndio ujue kakiri? Aliyewaambia waandishi wa habari yuko tayari kukosolewa, na serikali yake iko tayari kukosolewa ni nani?
Sasa kama anajua ana washauri wenye kumshauri vibaya iweje awe anaendelea kukubali kushauriwa na hao hao washauri na kuendelea kupewa ushauri mbaya?
 
Mbowe angekomaa amalize kesi yake mahakamani ili awe huru.

Hii ya DPP kujiondoa kwamba hana nia, DPP mwingine akiingia na rais mwingine Mbowe anafunguliwa mashataka upya.

Mbowe ametumia the easy way out ila kesi yake ya ugaidi iko pale pale.

Mlio karibu Mbowe mashaurini apambane hadi mahakama impe clearance otherwise DPP mwingine ana Rais mwingine wakiingia na wakataka kufufua kesi mbowe atarudishwa rumande kwa ugaidi.
Rubbish! Pale hapakuwa na kesi yote. Rais anapaswa kuviwajibisha vyombo vilivyomdanganya na kumpotosha kuwa walikuwa na kesi na hatimaye kumdhalilisha Rais wetu. Thanks to live coverage, kesi yenyewe ikageuka kuwa fedheha ya taifa. Hivi ttuhumiwa anaweza kujishtaki mwenyewe wakati mamlaka ya mashtaka haina nia ya kuendelea na kesi?
 
Kesi yote ilichorwa kipindi cha shetwani magufuli.
Samia alipoingia aliaminishwa huo mchongo ni kweli na watu wa magufuli.....baadae anajagundua issue nzima ni set up.
Kwa SAMIA alivyopangua safu ya magufuli ndivyo alivyozidi kupata ukweli


Hapo shetwan ni magufuli
Kesi yote ilisukuwa wakati wa Magufuli kwa kuhusisha Sabaya na kikosikazi cha wasiojulikana kilichokuwa Arusha. SSH aliaminishwa kuwa kesi ilishakuwepo tangu Agosti 2020 na kwamba watuhumiwa wote walishakamatwa isipokuwa Mbowe pekee yake ambaye alikuwa anagombea ubunge na kwamba baada ya uchaguzi 2020 alitorakea nje ya nchi na hivyo kukimbia mkono wa sheria. SSH alidanganyika kiasi hata cha kuamini kuwa baadhi ya watuhumiwa wa kesi hiyo walishafungwa!
 
Yani wewe ulikuwa unajua kuwa hiyo kesi ya Mbowe ni ya Mchongo tu ila Rais Samia hakuwa akijua na akawa anadanganywa hadi baadaye ndio akaja kujua ukweli? Ni dharau kwa Rais Samia hicho ulichokieleza au pengine unajaribu tu kumtetea.
Hakujua! Angekuwa ameijua vizuri hiyo kesi asingeiambia BBC kuwa wenzake Mbowe walishafungwa wakati yeye akiwa nje ya nchi!
 
Hakujua! Angekuwa ameijua vizuri hiyo kesi asingeiambia BBC kuwa wenzake Mbowe walishafungwa wakati yeye akiwa nje ya nchi!
Tuliweka uzi humu kuuliza ni nani alimdanganya Hangaya kwamba kuna waliofungwa kwenye kesi ile , uzi ule umeteketezwa hata haijulikani uliko
 
Ukiwa kipofu huwezi kuona dhuruma kwa wenzako, ila siku yakikutokea ndipo utauujua ukweli. Wewe endelea kuiabudu CCM na kuona wengine sio Raia was nchi hi na hawastahili kulalamika. Alikuwepo Ndugai katesa wapinzani bungeni, lakini muda wake ulipofika alifukuzwa kwa aibu uspika.
Zezeta mwingine huyu .nani aliyemfungulia mbowe mashtaka ya ugaidi
 
Back
Top Bottom