Umesahau kuwa aliwahi kusema yeye ni jiwe na hashauriki?Huku kupotoshwa na washauri kipindi cha Magufuli haikuwa hivyo, Magufuli abeba lawama zote yeye na si washauri.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umesahau kuwa aliwahi kusema yeye ni jiwe na hashauriki?Huku kupotoshwa na washauri kipindi cha Magufuli haikuwa hivyo, Magufuli abeba lawama zote yeye na si washauri.
Ndio nasema alibeba yeye lawama zote tofauti na Samia ambaye makosa yote wanabebeshwa washauri wake.Umesahau kuwa aliwahi kusema yeye ni jiwe na hashauriki?
Haya ndiyo madhara ya katiba iliyopo.Mtanzania aliyekimbia Nchi yake kutokana na kuzorota kwa usalama wake ,kulikochangiwa na watawala , Ndugu Erick Kabendera , ametoa maoni yake kwenye Tume ya haki jinai na kufumua mazito sana...
Sasa lini yeye Samia aliwahi kukiri kuwa ana shauriwa vibaya hadi nyie muone kuwa tatizo ni washauri wake na si yeye?
Siyo kumjua tu bali namfahamu kabisa mkuu!Punguza hasira, unamtukana baba yake na mama yake unamjua?.
Sasa kama anajua ana washauri wenye kumshauri vibaya iweje awe anaendelea kukubali kushauriwa na hao hao washauri na kuendelea kupewa ushauri mbaya?Lazima aje akuambie ww nyumbani kwako ndio ujue kakiri? Aliyewaambia waandishi wa habari yuko tayari kukosolewa, na serikali yake iko tayari kukosolewa ni nani?
Sasa kama anajua ana washauri wenye kumshauri vibaya iweje awe anaendelea kukubali kushauriwa na hao hao washauri na kuendelea kupewa ushauri mbaya?
Kwa sababu bado anaambiwa anashauriwa vibaya, au tuseme amebadili washauri ila bado nao wanamshauri vibaya?Umejuaje kama bado anaendelea nao?
Kwa sababu bado anaambiwa anashauriwa vibaya, au tuseme amebadili washauri ila bado nao wanamshauri vibaya?
Point ni kwamba hizo lawama kwa washauri wake bado zipo au tuseme ndio style ya kumkosoa Rais Samia kwenye awamu yake.Ksms kwenye nini ameambiwa anashauriwa vibaya?
Weka ushahidi wa hizo lawama.Point ni kwamba hizo lawama kwa washauri wake bado zipo au tuseme ndio style ya kumkosoa Rais Samia kwenye awamu yake.
Rubbish! Pale hapakuwa na kesi yote. Rais anapaswa kuviwajibisha vyombo vilivyomdanganya na kumpotosha kuwa walikuwa na kesi na hatimaye kumdhalilisha Rais wetu. Thanks to live coverage, kesi yenyewe ikageuka kuwa fedheha ya taifa. Hivi ttuhumiwa anaweza kujishtaki mwenyewe wakati mamlaka ya mashtaka haina nia ya kuendelea na kesi?Mbowe angekomaa amalize kesi yake mahakamani ili awe huru.
Hii ya DPP kujiondoa kwamba hana nia, DPP mwingine akiingia na rais mwingine Mbowe anafunguliwa mashataka upya.
Mbowe ametumia the easy way out ila kesi yake ya ugaidi iko pale pale.
Mlio karibu Mbowe mashaurini apambane hadi mahakama impe clearance otherwise DPP mwingine ana Rais mwingine wakiingia na wakataka kufufua kesi mbowe atarudishwa rumande kwa ugaidi.
Kesi yote ilisukuwa wakati wa Magufuli kwa kuhusisha Sabaya na kikosikazi cha wasiojulikana kilichokuwa Arusha. SSH aliaminishwa kuwa kesi ilishakuwepo tangu Agosti 2020 na kwamba watuhumiwa wote walishakamatwa isipokuwa Mbowe pekee yake ambaye alikuwa anagombea ubunge na kwamba baada ya uchaguzi 2020 alitorakea nje ya nchi na hivyo kukimbia mkono wa sheria. SSH alidanganyika kiasi hata cha kuamini kuwa baadhi ya watuhumiwa wa kesi hiyo walishafungwa!Kesi yote ilichorwa kipindi cha shetwani magufuli.
Samia alipoingia aliaminishwa huo mchongo ni kweli na watu wa magufuli.....baadae anajagundua issue nzima ni set up.
Kwa SAMIA alivyopangua safu ya magufuli ndivyo alivyozidi kupata ukweli
Hapo shetwan ni magufuli
Hakujua! Angekuwa ameijua vizuri hiyo kesi asingeiambia BBC kuwa wenzake Mbowe walishafungwa wakati yeye akiwa nje ya nchi!Yani wewe ulikuwa unajua kuwa hiyo kesi ya Mbowe ni ya Mchongo tu ila Rais Samia hakuwa akijua na akawa anadanganywa hadi baadaye ndio akaja kujua ukweli? Ni dharau kwa Rais Samia hicho ulichokieleza au pengine unajaribu tu kumtetea.
Tuliweka uzi humu kuuliza ni nani alimdanganya Hangaya kwamba kuna waliofungwa kwenye kesi ile , uzi ule umeteketezwa hata haijulikani ulikoHakujua! Angekuwa ameijua vizuri hiyo kesi asingeiambia BBC kuwa wenzake Mbowe walishafungwa wakati yeye akiwa nje ya nchi!
Subiri yakukute , shetani hana rafikiWatanzania bwana kila mtu kick
Zezeta mwingine huyu .nani aliyemfungulia mbowe mashtaka ya ugaidiUkiwa kipofu huwezi kuona dhuruma kwa wenzako, ila siku yakikutokea ndipo utauujua ukweli. Wewe endelea kuiabudu CCM na kuona wengine sio Raia was nchi hi na hawastahili kulalamika. Alikuwepo Ndugai katesa wapinzani bungeni, lakini muda wake ulipofika alifukuzwa kwa aibu uspika.
Aliikuta wapi ilifunguliwa lini na tarehe ngapiKakuta kesi ilishafunguliwa. Mbowe aliunganishwa baadae. Kiukweli ile kesi haikuwa na maana yeyote.