Erick Kabendera atoa maoni yake kwa Tume ya Haki Jinai, Adai Mahakimu wa Mahakama wanaiogopa ofisi ya DPP

Mtanzania aliyekimbia Nchi yake kutokana na kuzorota kwa usalama wake ,kulikochangiwa na watawala , Ndugu Erick Kabendera , ametoa maoni yake kwenye Tume ya haki jinai na kufumua mazito sana...
DPP ajiandae
 
Jaji sio mjinga akikuambia unakesi ya kujibu maana mashtaka yako yanamshiko sasa si ndo kesi ikaondolewa
 
Unajua hoja ni nini hapa au umeshapotea baada ya mjadala kwa mrefu? Maana huwa nakujua ni bingwa wa kupoteza focus mjadala ukiwa mrefu?
Si umeona amemkote mtu ndugu au umekunywa mbege ,
 
Rubbish! Pale hapakuwa na kesi yote. Rais anapaswa kuviwajibisha vyombo vilivyomdanganya na kumpotosha kuwa walikuwa na kesi na hatimaye kumdhalilisha Rais wetu...
Unaoweza kukuta wew ndo rabishi .hivi unajua mbowe alinguka dodoma kalewa chakari halafu akasingizia kuwa amevamiwa tumia kichwa chako
 
Hakujua! Angekuwa ameijua vizuri hiyo kesi asingeiambia BBC kuwa wenzake Mbowe walishafungwa wakati yeye akiwa nje ya nchi!
Kuijua vizuri kwa maana ipi?
Kuielewa kiundani au kujua ni ya mchongo tu?
 
Sasa hapo ameongea nini? Kwani uko aliko kuna chombo gani cha kuangalia mwenendo wa utendaji wa Polisi?
 
Sielewi kwa kesi ya ugaidi, kama nakumbuka vyema yalifanyika marekebisho ya sheria kuwa DPP akikuachia kwa kufuta kesi haruhusiwi tena kukukamata kwa kesi hiyo hiyo. Wanaokumbuka vizuri hasa Wanasheria kuhusu marekebisho hayo watusaidie.
 
Wewe mipango ya kesi hiyo alianzisha yule bwanako mwendakuzimu acha upuuzi!
 
Jaji sio mjinga akikuambia unakesi ya kujibu maana mashtaka yako yanamshiko sasa si ndo kesi ikaondolewa

Kesi kibao Jaji anasema una kesi ya kujibu kisha ukijitetea kwa kuita mashahidi pande zote mbili mtu anashinda kesi.

Kesi ya Mbowe ilikua kesi ya hovyo kwa taifa hili kupata kuishuhudia
 
Kweli kesi ya ugaidi kwa laki 7?wakati hata halitosis kununua baruti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…