Sidhani kama ana ubavu wa kupambana na familia ya magu Bado ni mdudu mdogo.Ni Erick Kabendera tena! Akihojiwa na muandishi Ghassan kuhusu kitabu chake IN THE NAME OF THE PRESIDENT, amesema alifanya mahojiano na waalimu wa JPM pale Katoke Seminary, wakamwambia kwamba JPM alifukuzwa seminary kutona na uvutaji bangi, na utovu wa nidhamu uliosababisha kuvunja dirisha la shule..
Katika mahojiano hayo, Erick Kabendera amesema waalimu wa JPM walimueleza kwamba waliona JPM ana matatizo ya akili. Nenda huko YouTube utakuta mahojiano yao, mambo ya kuwela link sijayajua
View attachment 3191181
MAGUFURI,Kusema ukweli kuhusu PhD ya mchongo ya yule kichaa ni makosa!? Mbona yeye aliwafukuza kazi watu kwa vyeti vya mchongo!? Mbwa yule ana bahati alipata Urais ila hakustahili hata kuongoza familia yake tu mwenyewe.
Kaa la moto aisee. Kabendera huyu Mungu anamuona kutukumbusha mbali , ila damu ya mtu nzito sana ,damu ya Ben Saanane bado inamlilia aliyeimwaga mpaka leo ?Kwa mila zetu za Kiafrika Malehemu asemwi vibaya! Juu ya Ishu ya kuvunja Dirisha.... ata Vyombo vya habari hapa Tanzania Viliwai mwonyesha Mweshimiwa akielezea hili sakata la kuvunja Dirisha ambalo ata alipotembelea hiyo Shule akiwa kama rais alilikuta bado alijajengwa- Na yeye Mweshimiwa Rais alitoa pesa ili litengenezwe tena upya ....
Ishu ya Bange sijui nini! Kila mmoja wetu tumepita age ya Magufuli na sisi sote tu wakosefu mbele ya Walimu, Maboss zetu na pengine ata tukiwa JKT... Bwana Kama wewe Ungehesabu Maovu Yetu ni nani angeweza simama mbele yako....Raha ya Milele Uwape ee Bwana na Mwanga wa milele uwaangazie .... Mungu wetu tunaomba uendelee kuwapa pumziko la milele waliowai kuwa Marais wetu🙏
Bipolar disorder ugonjwa mbaya sana Mzee alifanya vituko unbelievable.Ila mwamba ameachia mkosi familia yake.Alikuwa na mambo ya kipumbavu sana mbwa huyu .
Kumbe tutajua yote
Wewe tunakujua ni vyeti feki na ulitumbuliwa.Kusema ukweli kuhusu PhD ya mchongo ya yule kichaa ni makosa!? Mbona yeye aliwafukuza kazi watu kwa vyeti vya mchongo!? Mbwa yule ana bahati alipata Urais ila hakustahili hata kuongoza familia yake tu mwenyewe.
Shule si muhimu kwenye kuchambua mambo!.Sasa huyu pamoja na kuvuta bhangi, alikuwa na karama ya uongozi kwani..?
Wenye karama ya uongozi hutengenezewa njia laini na sahihi ya kupata uongozi na Mungu mwenyewe..
Mtazame Mfalme Daudi, Nabii Samweli, Mfalme Sauli na wengine wengi ktk historia ya dunia na Biblia hawakutwaa madaraka ya uongozi kwa nguvu na ulaghai na rushwa na uongo ongo...
John P. Magufuli hajawahi kuwa na karama ya uongozi. Alikuwa mtu mwongo, laghai, mwizi na katili...
Huyu hakuwahi kushinda nafasi ya uongozi kwa kura halali za watu ili kupata kibali cha Mungu na watu cha kuwa kiongozi wa taifa hili la Tanganyika...!!
Kwa kifupi, huyu alikuwa SHETANI MWENYEWE KATIKA MWILI WA BINADAMU..
Huu ni ukweli mchungu sana unaopaswa kusemwa ili tupone..
Wewe ndio Msukuma ambae hujui Magufuli katoka ukoo gani.Mkuu ondoa ukabila Wasukuma wenyewe hata hatumjui Magufuli katoka ukoo gani.
Hayo maoabila yenu yenyewe ni fiction ya manufactured reality tu.Wewe ndio Msukuma ambae hujui Magufuli katoka ukoo gani.
Jiongelee mwenyewe.
Alikuwa anaichangamsha akili, angalia utendaji wake tangu akiwa naibu waziri, waziri kamili na baadae kiongozi wa taifa.John alikuwa msugunsu/msukuma?
Ni Erick Kabendera tena! Akihojiwa na muandishi Ghassan kuhusu kitabu chake IN THE NAME OF THE PRESIDENT, amesema alifanya mahojiano na waalimu wa JPM pale Katoke Seminary, wakamwambia kwamba JPM alifukuzwa seminary kutona na uvutaji bangi, na utovu wa nidhamu uliosababisha kuvunja dirisha la shule..
Katika mahojiano hayo, Erick Kabendera amesema waalimu wa JPM walimueleza kwamba waliona JPM ana matatizo ya akili. Nenda huko YouTube utakuta mahojiano yao, mambo ya kuwela link sijayajua
View attachment 3191181