Erick Kabendera: John Magufuli alifukuzwa Katoke Seminary kutokana na uvutaji bangi, Walimu wake walisema alikuwa na matatizo ya akili

Erick Kabendera: John Magufuli alifukuzwa Katoke Seminary kutokana na uvutaji bangi, Walimu wake walisema alikuwa na matatizo ya akili

Wapumbavu kweli mnao msema Marehem kwa mabaya yake ngojen na nyie siku mkifa na ss tuseme mabaya yenu ila all in all Mwenda zake alisema "mtanikumbuka tena mtanisema kwa mabaya sababu wengi hawapendi ninachofanya kwa kasi" , ila sishangai hata nani afe iwe mzee wa msoga, Mama wa kilemba na au mtu yyte mkubwa wabongo lazima watamsema tuu , mwanasiasa ana Asili ya (UNAFIKI) na pia Binadam ana aslil ya kusahau mema , na binadam hata iweje ataongea tuu ....
 
Ni Erick Kabendera tena! Akihojiwa na muandishi Ghassan kuhusu kitabu chake IN THE NAME OF THE PRESIDENT, amesema alifanya mahojiano na waalimu wa JPM pale Katoke Seminary, wakamwambia kwamba JPM alifukuzwa seminary kutona na uvutaji bangi, na utovu wa nidhamu uliosababisha kuvunja dirisha la shule..

Katika mahojiano hayo, Erick Kabendera amesema waalimu wa JPM walimueleza kwamba waliona JPM ana matatizo ya akili. Nenda huko YouTube utakuta mahojiano yao, mambo ya kuwela link sijayajua
View attachment 3191181
Sidhani kama ana ubavu wa kupambana na familia ya magu Bado ni mdudu mdogo.
 
Kusema ukweli kuhusu PhD ya mchongo ya yule kichaa ni makosa!? Mbona yeye aliwafukuza kazi watu kwa vyeti vya mchongo!? Mbwa yule ana bahati alipata Urais ila hakustahili hata kuongoza familia yake tu mwenyewe.
MAGUFURI,
Is G.O.A.T

Watu Wana washwa kwenye kila tundu mwilini wakisikia jina JPM linatajwaa..
 
Ila mwamba ameachia mkosi familia yake.Alikuwa na mambo ya kipumbavu sana mbwa huyu .
 
Kwa mila zetu za Kiafrika Malehemu asemwi vibaya! Juu ya Ishu ya kuvunja Dirisha.... ata Vyombo vya habari hapa Tanzania Viliwai mwonyesha Mweshimiwa akielezea hili sakata la kuvunja Dirisha ambalo ata alipotembelea hiyo Shule akiwa kama rais alilikuta bado alijajengwa- Na yeye Mweshimiwa Rais alitoa pesa ili litengenezwe tena upya ....

Ishu ya Bange sijui nini! Kila mmoja wetu tumepita age ya Magufuli na sisi sote tu wakosefu mbele ya Walimu, Maboss zetu na pengine ata tukiwa JKT... Bwana Kama wewe Ungehesabu Maovu Yetu ni nani angeweza simama mbele yako....Raha ya Milele Uwape ee Bwana na Mwanga wa milele uwaangazie .... Mungu wetu tunaomba uendelee kuwapa pumziko la milele waliowai kuwa Marais wetu🙏
Kaa la moto aisee. Kabendera huyu Mungu anamuona kutukumbusha mbali , ila damu ya mtu nzito sana ,damu ya Ben Saanane bado inamlilia aliyeimwaga mpaka leo ?
 
Kumbe tutajua yote

Kabisa.
Ukweli unatabia ya kujidhihirisha wenyewe bila msaada wa watu.
Ukweli hujitetea wenyewe.
Huwaga ni swala la muda tu lakini ukishafika kila kitu huwa dhahiri shahiri.
Inasikitisha mno .
 
Sasa kuvuta bangi ni kitu cha ajabu?
Mbona hata Samia tunavuta nae?
 
Kusema ukweli kuhusu PhD ya mchongo ya yule kichaa ni makosa!? Mbona yeye aliwafukuza kazi watu kwa vyeti vya mchongo!? Mbwa yule ana bahati alipata Urais ila hakustahili hata kuongoza familia yake tu mwenyewe.
Wewe tunakujua ni vyeti feki na ulitumbuliwa.
 
Nasubiri sana kuusikia mtazamo wa Profesa Issa Shivji juu ya hichi kitabu cha Kabendera.

Na sababu yangu kuu ni kuwa Profesa alikuwa ni mtu wa kwanza kuchapa andiko lililoongelea hali wakati wa Hayati Magufuli. Na alitema nyongo kadiri ya utashi na taarifa zake.
 
Sasa huyu pamoja na kuvuta bhangi, alikuwa na karama ya uongozi kwani..?

Wenye karama ya uongozi hutengenezewa njia laini na sahihi ya kupata uongozi na Mungu mwenyewe..

Mtazame Mfalme Daudi, Nabii Samweli, Mfalme Sauli na wengine wengi ktk historia ya dunia na Biblia hawakutwaa madaraka ya uongozi kwa nguvu na ulaghai na rushwa na uongo ongo...

John P. Magufuli hajawahi kuwa na karama ya uongozi. Alikuwa mtu mwongo, laghai, mwizi na katili...

Huyu hakuwahi kushinda nafasi ya uongozi kwa kura halali za watu ili kupata kibali cha Mungu na watu cha kuwa kiongozi wa taifa hili la Tanganyika...!!

Kwa kifupi, huyu alikuwa SHETANI MWENYEWE KATIKA MWILI WA BINADAMU..

Huu ni ukweli mchungu sana unaopaswa kusemwa ili tupone..
Shule si muhimu kwenye kuchambua mambo!.

Kwenye comment yangu nimeandika Magu alikuwa na karama ya uongozi?.

Surely JF imepoteza great thinker and now we've like you cheap thinker!.

"kharagabao mzungu wa heri"
 
Mwana nilijua tu lazima ataihusisha bangi kwenye kitabu chake .wanatukosea sana wavuta bangi .Kabendera tutake radhi wavuta bangi hatuvai pajama na kupiga risas za kichwa.
 
Wewe ndio Msukuma ambae hujui Magufuli katoka ukoo gani.

Jiongelee mwenyewe.
Hayo maoabila yenu yenyewe ni fiction ya manufactured reality tu.

Watu wengi ambao hawajafanya DNA tests hata hawajui baba zao ni kina nani kwa uhakika, lakini wanajibandika makabila kwa uhakika.

It's just a convenient narrative.
 
Ni Erick Kabendera tena! Akihojiwa na muandishi Ghassan kuhusu kitabu chake IN THE NAME OF THE PRESIDENT, amesema alifanya mahojiano na waalimu wa JPM pale Katoke Seminary, wakamwambia kwamba JPM alifukuzwa seminary kutona na uvutaji bangi, na utovu wa nidhamu uliosababisha kuvunja dirisha la shule..

Katika mahojiano hayo, Erick Kabendera amesema waalimu wa JPM walimueleza kwamba waliona JPM ana matatizo ya akili. Nenda huko YouTube utakuta mahojiano yao, mambo ya kuwela link sijayajua
View attachment 3191181

Jibuni hoja sio matusi
 
Back
Top Bottom