92Ubuntu
JF-Expert Member
- Jan 8, 2014
- 313
- 367
Wapumbavu kweli mnao msema Marehem kwa mabaya yake ngojen na nyie siku mkifa na ss tuseme mabaya yenu ila all in all Mwenda zake alisema "mtanikumbuka tena mtanisema kwa mabaya sababu wengi hawapendi ninachofanya kwa kasi" , ila sishangai hata nani afe iwe mzee wa msoga, Mama wa kilemba na au mtu yyte mkubwa wabongo lazima watamsema tuu , mwanasiasa ana Asili ya (UNAFIKI) na pia Binadam ana aslil ya kusahau mema , na binadam hata iweje ataongea tuu ....