milele amina
JF-Expert Member
- Aug 16, 2024
- 6,045
- 8,080
Sio mtu?Utakuwa msukuma
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio mtu?Utakuwa msukuma
Kila mtu na wito wake alioitiwa na Mungu haiwezekani wote wakawa marais kama ambavyo wewe mwenye hujawahi kuwa rais, na pengine hujawahi kuwa kiongozi popote pale na huenda mpaka unakufa hutokuwa kiongozi hata kwa watoto wako na bangi huenda umevuta vya kutosha ukidhani itakufanya kuwa kiongozi.Alifikia ngazi ya kuwa Rais. Wewe ambaye haukuvuta umefikia wapi zaidi ya kutumia jina bandia JF? Ahahahahaha!!!
Mvurugiko wa akiliJamaal Yuko rough sana
Mmeumia Sana ila jamaa yangu alikuwa anampelekea bangi ikuluSio mtu?
Athari ya chuki, hiyo ndio inawatia nguvu hadi sasa kuendelea tu kuelezea mabaya ya Magufuli kama bado yupo hai. Magufuli alikuwa kiongozi hivyo yapo aliyofanya vyema kwenye uongozi wake na yapo ambayo hayakuwa mazuri au maovu kwenye uongozi wake ila sasa ukiona mtu kachagua kumuelezea kiongozi upande mmoja tu ujue hapo hutumia hisia zaidi.Mi hata sielewi. Kwanini kumzuungumzia vibaya mtu ambaye hayupo katika ulimwengu huu? Ni nini wanahitaji? Kufuta legacy au kuwakwaza tu waliokuwa wafuasi wake?
Sisi kama wasukuma asilia tumemtangazia Eric kaflagi FWATA popote alipo.....
Na itanfwata popote alipo hata ajifuje wapi ?
Acha uongo kenge maji wewe.Yeye ndo mwasisi wa huo utekaji, magufuli wa chato ameharibu nchi mpaka sasa hivi kuharibu uchaguzi , kuteka na kuua kama panya limekuwa kama jambo la kawaida
Duh,jiwe kumbe alikuwa anapiga mjani kama kawa!!Ni Erick Kabendera tena! Akihojiwa na muandishi Ghassan kuhusu kitabu chake IN THE NAME OF THE PRESIDENT, amesema alifanya mahojiano na waalimu wa JPM pale Katoke Seminary, wakamwambia kwamba JPM alifukuzwa seminary kutona na uvutaji bangi, na utovu wa nidhamu uliosababisha kuvunja dirisha la shule..
Katika mahojiano hayo, Erick Kabendera amesema waalimu wa JPM walimueleza kwamba waliona JPM ana matatizo ya akili. Nenda huko YouTube utakuta mahojiano yao, mambo ya kuwela link sijayajua
View attachment 3191181
Na ilikuwaje mtu mwenye matatizo ya akili akawa mwalimu, mbunge, waziri then rais wa nchi?Kabendera amesema waalimu wa JPM walimueleza kwamba waliona JPM ana matatizo ya akili.
Na kwenye Jamii yoyote mtu anapofikia ngazi ya Urais mara nyingi anakuwa sio wa kawaida na ndio maana huwa wachache. Marekani na ukongwe wake hawajafikisha Marais 50!Kila mtu na wito wake alioitiwa na Mungu haiwezekani wote wakawa marais kama ambavyo wewe mwenye hujawahi kuwa rais, na pengine hujawahi kuwa kiongozi popote pale na huenda mpaka unakufa hutokuwa kiongozi hata kwa watoto wako na bangi huenda umevuta vya kutosha ukidhani itakufanya kuwa kiongozi.
Ni historia. Watu wanaandika mabaya ya viongozi ili yasirudiwe.Mi hata sielewi. Kwanini kumzuungumzia vibaya mtu ambaye hayupo katika ulimwengu huu? Ni nini wanahitaji? Kufuta legacy au kuwakwaza tu waliokuwa wafuasi wake?
Mkuu,Hawawezi kufuta ukweli kuwa alifanya vizuri katika kipindi chake. Makosa kila Binadamu anayo.
Siyo kweli maana kama ni akili huwa kuna watu wana akili kuliko hao maraisi, kama ni utendaji kuna watu huwa wana rekodi zilizotukuka za utendaji kuliko hao wanaokuwa maraisi,Na kwenye Jamii yoyote mtu anapofikia ngazi ya Urais mara nyingi anakuwa sio wa kawaida na ndio maana huwa wachache. Marekani na ukongwe wake hawajafikisha Marais 50!
Nyana gete, mbehi ng’wenuhuKa bhologo? Nolo ke?
Mkuu, wangemuweka hata safe house for the rest of his (Magufuli's) regime time instead of taking one's life away mercilessly.Ishu ya kula "kaya/mneli/kijiti" sio ishu to my side.
Ishu ni kumuua dogo yule kinyama. Wangetafuta hata namna ya kumnyamazisha, just to spare his life. ooh Ben
Mimi napinga ukabila.Mtu mzima unazungumzia ukabila.. unadhani ni jambo la maana sana kujua kabila la mtu. Unataka kutambika?