Erick Kabendera: John Magufuli alifukuzwa Katoke Seminary kutokana na uvutaji bangi, Walimu wake walisema alikuwa na matatizo ya akili

Erick Kabendera: John Magufuli alifukuzwa Katoke Seminary kutokana na uvutaji bangi, Walimu wake walisema alikuwa na matatizo ya akili

Alifikia ngazi ya kuwa Rais. Wewe ambaye haukuvuta umefikia wapi zaidi ya kutumia jina bandia JF? Ahahahahaha!!!
Kila mtu na wito wake alioitiwa na Mungu haiwezekani wote wakawa marais kama ambavyo wewe mwenye hujawahi kuwa rais, na pengine hujawahi kuwa kiongozi popote pale na huenda mpaka unakufa hutokuwa kiongozi hata kwa watoto wako na bangi huenda umevuta vya kutosha ukidhani itakufanya kuwa kiongozi.
 
Mi hata sielewi. Kwanini kumzuungumzia vibaya mtu ambaye hayupo katika ulimwengu huu? Ni nini wanahitaji? Kufuta legacy au kuwakwaza tu waliokuwa wafuasi wake?
Athari ya chuki, hiyo ndio inawatia nguvu hadi sasa kuendelea tu kuelezea mabaya ya Magufuli kama bado yupo hai. Magufuli alikuwa kiongozi hivyo yapo aliyofanya vyema kwenye uongozi wake na yapo ambayo hayakuwa mazuri au maovu kwenye uongozi wake ila sasa ukiona mtu kachagua kumuelezea kiongozi upande mmoja tu ujue hapo hutumia hisia zaidi.
 
Sisi kama wasukuma asilia tumemtangazia Eric kaflagi FWATA popote alipo.....
Na itanfwata popote alipo hata ajifuje wapi ?

Talk for yourself.

Unafirkiri wewe ndiye Msukuma peke yako humu. Pia kuna Nyani, Paskal Mayala na mimi mwenyewe aka Mr. Zero.
 
Yeye ndo mwasisi wa huo utekaji, magufuli wa chato ameharibu nchi mpaka sasa hivi kuharibu uchaguzi , kuteka na kuua kama panya limekuwa kama jambo la kawaida
Acha uongo kenge maji wewe.
Toka enzi za kikwete watu walikua wakitekwa.
Toka enzi za Mkapa watu walikua walitekwa.
Unamjua Doctor Ulimboka wewe!?
Je alitekwa na Magufuli yule!?
Mnaropoka ropoka tu vitu msivyokua na uhakika navyo.
Kuhusu ubadhilifu wa uchaguzi mbona huzungumzii vifo alivyosababisha Mkapa kule Zanzibar wakati wa uchaguzi ili kuiweka CCM madarakani!?
 
Ni Erick Kabendera tena! Akihojiwa na muandishi Ghassan kuhusu kitabu chake IN THE NAME OF THE PRESIDENT, amesema alifanya mahojiano na waalimu wa JPM pale Katoke Seminary, wakamwambia kwamba JPM alifukuzwa seminary kutona na uvutaji bangi, na utovu wa nidhamu uliosababisha kuvunja dirisha la shule..

Katika mahojiano hayo, Erick Kabendera amesema waalimu wa JPM walimueleza kwamba waliona JPM ana matatizo ya akili. Nenda huko YouTube utakuta mahojiano yao, mambo ya kuwela link sijayajua
View attachment 3191181
Duh,jiwe kumbe alikuwa anapiga mjani kama kawa!!
 
Kabendera amesema waalimu wa JPM walimueleza kwamba waliona JPM ana matatizo ya akili.
Na ilikuwaje mtu mwenye matatizo ya akili akawa mwalimu, mbunge, waziri then rais wa nchi?

Kabendera ni chizi tu aliyekatiza dozi, angekuwa sio chizi angesema... "wote waliowahi kuwa wenyeviti wa CCM kitaifa walikuwa na matatizo ya akili... Hata mwenyekiti wa sasa ana matatizo ya akili.."

Mwisho angekazia kwa kusema yeye ni chizi pia na wabongo wote ni machizi 😂😂
 
Kila mtu na wito wake alioitiwa na Mungu haiwezekani wote wakawa marais kama ambavyo wewe mwenye hujawahi kuwa rais, na pengine hujawahi kuwa kiongozi popote pale na huenda mpaka unakufa hutokuwa kiongozi hata kwa watoto wako na bangi huenda umevuta vya kutosha ukidhani itakufanya kuwa kiongozi.
Na kwenye Jamii yoyote mtu anapofikia ngazi ya Urais mara nyingi anakuwa sio wa kawaida na ndio maana huwa wachache. Marekani na ukongwe wake hawajafikisha Marais 50!
 
Mi hata sielewi. Kwanini kumzuungumzia vibaya mtu ambaye hayupo katika ulimwengu huu? Ni nini wanahitaji? Kufuta legacy au kuwakwaza tu waliokuwa wafuasi wake?
Ni historia. Watu wanaandika mabaya ya viongozi ili yasirudiwe.

Wameandika hivyo kwa Caligula, Nero, Hitler, Pol Pot, Idi Amin na sasa Magufuli.

Ukitaka usiandikwe, kuwa private citizen kama Kiranga. Hakuna atakayekujua wala kukuandika.

Ukishakuwa kiongozi tu, utaandikwa tu.

It is part if the deal.

Kwa nini wabongo mnakuwa wagumu kuelewa hili jambo la kawaida kabisa?

Hamjawahi kusoma biograohies za viongozi wa nchi nyingine?
 
Hawawezi kufuta ukweli kuwa alifanya vizuri katika kipindi chake. Makosa kila Binadamu anayo.
Mkuu,

Kuna kitabu cha kumsifia Magufuli kimetoka, ninacho hapa.

Watu wamekipotezea tu.

Kwa nini?

Mazuri ni kazi ya kiongozi. Akifanya hakuna cha ajabu.

Ila, kufanya mabaya si kazi yake. Akifanya mabaya ni kitu cha ajabu. Ni newsworthy.

Baba akimnunukia chakula mwanawe kafanya kazi yake. Hakuna headline hapo.

Baba akimuua mwanawe, hiyo ni shocking news inaripotiwa haraka sana.

Huelewi wapi?
 
Aendelee kubwekea huko huko alipoolewa,, akirudi tu lazima aliwe kichwa...
 
Na kwenye Jamii yoyote mtu anapofikia ngazi ya Urais mara nyingi anakuwa sio wa kawaida na ndio maana huwa wachache. Marekani na ukongwe wake hawajafikisha Marais 50!
Siyo kweli maana kama ni akili huwa kuna watu wana akili kuliko hao maraisi, kama ni utendaji kuna watu huwa wana rekodi zilizotukuka za utendaji kuliko hao wanaokuwa maraisi,
Kwa hiyo rais ni mtu tu wa kawaida kama watu wengine. Na ndiyo maana sasa inajulikana kuwa marehemu alikuwa mvuta bangi kama wavuta bangi wengine, ndo sasa inajulikana marehemu alikuwa mtu wa kufosi anapotaka mzigo na haya ni ya kawaida tu viongozi kibao wanayo matendo kama haya.
 
Ishu ya kula "kaya/mneli/kijiti" sio ishu to my side.

Ishu ni kumuua dogo yule kinyama. Wangetafuta hata namna ya kumnyamazisha, just to spare his life. ooh Ben
Mkuu, wangemuweka hata safe house for the rest of his (Magufuli's) regime time instead of taking one's life away mercilessly.

CC: Detective J
 
Mtu mzima unazungumzia ukabila.. unadhani ni jambo la maana sana kujua kabila la mtu. Unataka kutambika?
Mimi napinga ukabila.

Napinga watu kutumia jina la kabila kubwa kisiasa.

Wewe hujaelewa somo tu.

Napinga watu wa kabila zima kuchafuliwa kwa sababu ya makosa ya mtu mmoja ya kisiasa.

Wewe hujaelewa somo tu.
 
Back
Top Bottom