Mzee clip ya Mwangosi kuuwawa umeiona na bado umeandika hiki ulichoandika?Mwangosi bomu la machozi la ffu lilimpata tumboni,mi lilinipiga mgongoni 2002 maandamano ya waislam,lengo la bom la machozi siyo kuua
Jiwe alisoka uvumilivu kisa tu Ben kumkosoa Phd yake ilikuwa feki.Hiki kitabu nitakipataje? Nakosa uvumilivu wa kukisubiri kinifikie.
Nina wasiwasi kisije kuzuiliwa kuuzika.
Ila Ben Saanane aliniuma sana, pumzika kwa amani rafiki mwema.
Hoja yake ni kwamba, Jiwe kuonekana na mkwassa ni fact inayo eleza kwamba alikuwa anajua kuutumia na kama alikuwa anajua kuutumia basi uwezekano wa yeye kuutumia kwa Saanane ni mkubwaUmeandika maelezo marefu.
Na mimi nakuuliza hoja yako ni nini kwenye maelezo yote haya?
Basi na wewe usimkosoe Farao kwa kuwatesa wana wa Israel kwa sababu tayari alisha kufa. Huna hoja mkuu. Mtu kama alifanya uovu, uovu wake lazima uanikwe kwa faida ya vizazi vijavyoKitaalam kumzungumzia au kumkosoa mtu huku kunaitwa mental disabilities, haiwezekan kumzungumzia mtu ambaye hawez jibu tuhuma,pia ni ukosefu wa fikra fikirishi,alafu kingine labda niongozee jiwe hakuwa malaika kwamba kila kitu alikuwa clean isipokuwa mengineyo alifanya kama binadamu wa kawaida wafanyavyo,
Yanga omaryKuna bwana mmoja alikuwa anauza madawa ya kulevya..amefariki juz hapa alikuwa gerezani(miaka 30)..mtu WA tanga..
Siku amekamatwa akasafirishwa mpaka state...mzee akamuona ..akamuuliza kumbe wewe ndio desh desh Yanga!!?..Kisha akasema nilikuwa nataka nikuone...Kisha akawaambia walio mleta.."Nendeni mkashughulike nae"....
Mzee alikuwa mkali lakini sio kufikia hatua ya kuua kwa bastola yake""..I stand to be corrected.
Umethibitishaje kuwa wewe una akili?Tapeli kwenye Moja na mbili hahahahah Tanzania ukitaka kuwanasa wajinga Tunga uongo tu hapo wajinga wanaenda kupigwa atawanasa wajinga ila sisi wenye akili tunaona kabisa huo ni uongo🤣🤣🤣🤣🤣
Wewe umethibitishaje unaakili?Umethibitishaje kuwa wewe una akili?
Huo uovu ukiwa wa kweli hakuna mtu atapinga...Basi na wewe usimkosoe Farao kwa kuwatesa wana wa Israel kwa sababu tayari alisha kufa. Huna hoja mkuu. Mtu kama alifanya uovu, uovu wake lazima uanikwe kwa faida ya vizazi vijavyo
Angelisema Magufuli alitoa 'maelekezo' ningeweza kumwamini.
hili la kusema eti alikutanishwa na Magufuli Ikulu na kwa vile Magufuli alipenda kubeba bastola, eti akachomoa bastola na kumpiga risasi kwa mkono wake, hainiingii akilini mimi.
Ni ngumu sana jambo hilo kutendeka kama alivyolirahisisha kwa kuliandika.
Huko Kimataifa vitabu kama hivi vipo vya kutosha.Usalama wa taifa mko wapi mpaka kitabu chenye madai kama hayo mnaruhusu kiuzwe?
Ipo siku, mh rais atakuja kuulizwa swali hili na vyombo vya habari vya kimataita tena akiwa kwenye angle mbaya na atapata kigugumizi kulijibu. Trust me.
Huko Kimataifa vitabu kama hivi vipo vya kutosha.Usalama wa taifa mko wapi mpaka kitabu chenye madai kama hayo mnaruhusu kiuzwe?
Ipo siku, mh rais atakuja kuulizwa swali hili na vyombo vya habari vya kimataita tena akiwa kwenye angle mbaya na atapata kigugumizi kulijibu. Trust me.
Hakuna aya yoyote kwenye vitabu vya Mungu iliyoagiza tumsamehe Shetani
Ndio maana alilia aungamishwe na kadinali maana dhambi zake kusamehewa hata na askofu aliona hatoshi...Nanukuu......
Kitabu cha “In the Name of the President: Memoirs of a Jailed Journalist” kilichoandikwa na Erick Kabendera, @kabsjourno kimeanza kuuzwa leo. Mwandishi anaeleza kuhusu kutekwa na kuuwawa kwa Ben Rabiu Focas Saanane, December 2016 alipigwa risasi na mwili wake kutupwa mto Rufiji.
View attachment 3189981View attachment 3189980
Aisee huyu kabendera ndiyo anaandika uongo kiasi hiki, jinga sana. Uzuri mavuno ni hapa hapa duniani. Mungu atamlipia kwa huu uongo wakeNanukuu......
Kitabu cha “In the Name of the President: Memoirs of a Jailed Journalist” kilichoandikwa na Erick Kabendera, @kabsjourno kimeanza kuuzwa leo. Mwandishi anaeleza kuhusu kutekwa na kuuwawa kwa Ben Rabiu Focas Saanane, December 2016 alipigwa risasi na mwili wake kutupwa mto Rufiji.
View attachment 3189981View attachment 3189980
Karma is no more bitchAliye mtuma watu wamuue nae kafariki kikatili sana hii ndio karma