Erick Kabendera kupitia Kitabu chake: Ben Saanane aliuawa na Rais Magufuli na maiti yake ikatupwa Mto Rufiji

Erick Kabendera kupitia Kitabu chake: Ben Saanane aliuawa na Rais Magufuli na maiti yake ikatupwa Mto Rufiji

Kitaalam kumzungumzia au kumkosoa mtu huku kunaitwa mental disabilities, haiwezekan kumzungumzia mtu ambaye hawez jibu tuhuma,pia ni ukosefu wa fikra fikirishi,alafu kingine labda niongozee jiwe hakuwa malaika kwamba kila kitu alikuwa clean isipokuwa mengineyo alifanya kama binadamu wa kawaida wafanyavyo,
Basi na wewe usimkosoe Farao kwa kuwatesa wana wa Israel kwa sababu tayari alisha kufa. Huna hoja mkuu. Mtu kama alifanya uovu, uovu wake lazima uanikwe kwa faida ya vizazi vijavyo
 
Usalama wa taifa mko wapi mpaka kitabu chenye madai mazito kama hayo tena kwa mtu mwenye cheo cha rais mnaruhusu kiuzwe?

Ipo siku, mh rais atakuja kuulizwa maswali kuhusu jambo hili na vyombo vya habari vya kimataita tena akiwa kwenye angle mbaya na atapata kigugumizi kulijibu. Trust me, Ni ishu ya muda tu.
 
Kuna bwana mmoja alikuwa anauza madawa ya kulevya..amefariki juz hapa alikuwa gerezani(miaka 30)..mtu WA tanga..
Siku amekamatwa akasafirishwa mpaka state...mzee akamuona ..akamuuliza kumbe wewe ndio desh desh Yanga!!?..Kisha akasema nilikuwa nataka nikuone...Kisha akawaambia walio mleta.."Nendeni mkashughulike nae"....
Mzee alikuwa mkali lakini sio kufikia hatua ya kuua kwa bastola yake""..I stand to be corrected.
Yanga omary
 
Basi na wewe usimkosoe Farao kwa kuwatesa wana wa Israel kwa sababu tayari alisha kufa. Huna hoja mkuu. Mtu kama alifanya uovu, uovu wake lazima uanikwe kwa faida ya vizazi vijavyo
Huo uovu ukiwa wa kweli hakuna mtu atapinga...

Sasa hii tarifa inaaminika vipi bila ushahidi?

Hatukatai huenda ni kweli lakini fact hulindwa na evidence.
 
Angelisema Magufuli alitoa 'maelekezo' ningeweza kumwamini.

hili la kusema eti alikutanishwa na Magufuli Ikulu na kwa vile Magufuli alipenda kubeba bastola, eti akachomoa bastola na kumpiga risasi kwa mkono wake, hainiingii akilini mimi.
Ni ngumu sana jambo hilo kutendeka kama alivyolirahisisha kwa kuliandika.

Kwa wanaomjua JIWE hilo tukio kwake ni dogo sana.
 
Usalama wa taifa mko wapi mpaka kitabu chenye madai kama hayo mnaruhusu kiuzwe?

Ipo siku, mh rais atakuja kuulizwa swali hili na vyombo vya habari vya kimataita tena akiwa kwenye angle mbaya na atapata kigugumizi kulijibu. Trust me.
Huko Kimataifa vitabu kama hivi vipo vya kutosha.
 
Nanukuu......
Kitabu cha “In the Name of the President: Memoirs of a Jailed Journalist” kilichoandikwa na Erick Kabendera, @kabsjourno kimeanza kuuzwa leo. Mwandishi anaeleza kuhusu kutekwa na kuuwawa kwa Ben Rabiu Focas Saanane, December 2016 alipigwa risasi na mwili wake kutupwa mto Rufiji.

View attachment 3189981View attachment 3189980
Ndio maana alilia aungamishwe na kadinali maana dhambi zake kusamehewa hata na askofu aliona hatoshi...
 
Nanukuu......
Kitabu cha “In the Name of the President: Memoirs of a Jailed Journalist” kilichoandikwa na Erick Kabendera, @kabsjourno kimeanza kuuzwa leo. Mwandishi anaeleza kuhusu kutekwa na kuuwawa kwa Ben Rabiu Focas Saanane, December 2016 alipigwa risasi na mwili wake kutupwa mto Rufiji.

View attachment 3189981View attachment 3189980
Aisee huyu kabendera ndiyo anaandika uongo kiasi hiki, jinga sana. Uzuri mavuno ni hapa hapa duniani. Mungu atamlipia kwa huu uongo wake
 
Back
Top Bottom