Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Kumbe unafanya nini?Mimi tena ndiye nalia?
Hiyo picha ya Magufuli, imetumika fairly.
Unachosema wewe ni nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe unafanya nini?Mimi tena ndiye nalia?
Tukio la raisi kumuua raia ikulu?Kwa wanaomjua JIWE hilo tukio kwake ni dogo sana.
Hapana,Hai make sense mkuu...
Nina uhakika kwa akili za Kabendera alijua akiweka picha hiyo atawafanya watu waamini allegations za kuuwawa kwa Ben kwa mkono wa Magu...
Hakujua watu watahitaji ushahidi zaidi.
Nadhani kabendera akamatwe na kuhojiwaHuo uovu ukiwa wa kweli hakuna mtu atapinga...
Sasa hii tarifa inaaminika vipi bila ushahidi?
Hatukatai huenda ni kweli lakini fact hulindwa na evidence.
kwahiyo boniface mkwassa anauhusika na yeyeJiwe kuonekana na mkwassa
Hakika ni mjinga sana siyo tu kufuatiliwa, ni kuandika uongo maana yake ana washutumu usalama wa taifa wote kuwa walimchukua bs8 na kumpeleka aende kuuawa hahaha ila ni allegation ya kijinga sana tena sana na ya kitotoHiv halieandika hiki kitabu mfano akiambiwa hatoe ushaid itakuwaje kumtaja jiwe haogop kufatiliwa na mamlaka
Hapo unabishana na mlevi wa dini, utapoteza muda wako bure.Jamal Khashoggi aliuwawa na akina nani kwa amri ya nani ndani ya Ubalozi wa Saudia huko Uturuki?
Sikuelewi upo all over the place na maandishi mengi hata hueleweki unachotaka kujua.Kumbe unafanya nini?
Hiyo picha ya Magufuli, imetumika fairly.
Unachosema wewe ni nini?
Nakumbuka aliyeileta ile habari ni yule mwandamizi ID yake ni "ice" kwa kibantu siku hizi haonekani sana. Hata Kigogo aliwahi kusema hivyo hadi akaelezea mzmu wa mdau uliwahi kumtokea Jiwe hata akaogopa kuishi state h. Wazee wa legacy wanamtetea ila kwa nature yake lolote lingewezekana. May be Karma is real.Magufuli alifanya hili tukio kwa mkono wake na humu jf ililetwa mpaka thread na ilikuwa ni kipindi ambacho kulikuwa na madai kwamba aliuliwa kwenye Moja ya safe houses za usalama halafu akapelekwa kwenye kisiwa Fulani kule bahari ya Hindi akamezwa na chatu ndio wavuvi wakaja wakaona shati na handkerchief baada ya madai haya ndio jamaa mmoja akaja akasema hapana aliuwawa na JPM kwa mkono wake mwenyewe.
Tukio la raisi kumuua raia ikulu?
Huenda ni kweli lakini kwanini tulazimishe watu waamini bila uthibitisho?
Kama tukio la kumuuwa Ben ni dogo kwa Magufuli maana yake ameshafanya matukio makubwa kuliko hilo!
Unaweza kuyataja mkuu?
Okay, he is there.Nanukuu......
Kitabu cha “In the Name of the President: Memoirs of a Jailed Journalist” kilichoandikwa na Erick Kabendera, @kabsjourno kimeanza kuuzwa leo. Mwandishi anaeleza kuhusu kutekwa na kuuwawa kwa Ben Rabiu Focas Saanane, December 2016 alipigwa risasi na mwili wake kutupwa mto Rufiji.
View attachment 3189981View attachment 3189980
Kitabu kinauzwa TZS????Nanukuu......
Kitabu cha “In the Name of the President: Memoirs of a Jailed Journalist” kilichoandikwa na Erick Kabendera, @kabsjourno kimeanza kuuzwa leo. Mwandishi anaeleza kuhusu kutekwa na kuuwawa kwa Ben Rabiu Focas Saanane, December 2016 alipigwa risasi na mwili wake kutupwa mto Rufiji.
View attachment 3189981View attachment 3189980
This logical fallacy is called a false dichotomy.Sikuelewi upo all over the place na maandishi mengi hata hueleweki unachotaka kujua.
Chagua kimoja katika hivi viwili tukijadili:
Ninalia au unataka kujua ninachosema?
Jinga sana wewe unaleta udini hapaMaamuma maana yake mfuasi
Haya unayoandika hapa ni fallacy of generalisation. Umeifanya mwanzo kabisa nikashindwa kukuelewa, unaifanya sasa hivi pia.This logical fallacy is called a false dichotomy.
Inawezekana kabisa unalialia sana mpaka sikuelewi unachotaka kusema.
Unalia na nataka kuelewa unachotaka kusema.
There is no contradiction there.
Your proposition is fallacious.
The fallacy is false dichotomy.
Dah ila ni kweli kua wabongo wengi tuna akili ndogo kias hiki..yaani wat kutoka nje waje nchi wamteke mfanya biashara number 1 nchi hii asubuhi na mapema wakae nae zaid ya masaa ishirini na nne humu humu ndani..then wamalizane nae wakamtupe bila kujulikana Wala kukamatwa mhusika ata Mmoja,..Mkuu, samahani hivi kuna ushahidi gani kuwa Mo Dewji alitekwa na serikali? Maana mwenyewe alikuwa akihojiwa BBC akadai ni watu wa nje ya nchi.. Na Magufuli alisikika akimkosoa Mambosasa kuhusu maelezo ya polisi waliyokuwa wakitoa
Naomba kama utakua na chanzo plz, maana na mimi natafuta sana ukweli wa hili swala
HahaaaaaJinga sana wewe unaleta udini hapa
Fallacy of generalization iko wapi?Haya unayoandika hapa ni fallacy of generalisation. Umeifanya mwanzo kabisa nikashindwa kukuelewa, unaifanya sasa hivi pia.
Kutokea kwenye original post niliyoandika hebu sema wapi haujaelewa
Nasema nina uhakika kwa sababu hana ushahidi mwingine wa kuaminisha watu kuhusu allegation aliyoitoa kwa Magu...nina uhakika" unatakiwa uwe na ushahidi na uthibitisho ku back uhakika