Erick Kabendera kupitia Kitabu chake: Ben Saanane aliuawa na Rais Magufuli na maiti yake ikatupwa Mto Rufiji

Erick Kabendera kupitia Kitabu chake: Ben Saanane aliuawa na Rais Magufuli na maiti yake ikatupwa Mto Rufiji

Hai make sense mkuu...

Nina uhakika kwa akili za Kabendera alijua akiweka picha hiyo atawafanya watu waamini allegations za kuuwawa kwa Ben kwa mkono wa Magu...

Hakujua watu watahitaji ushahidi zaidi.
Hapana,

Hapo umwfanya assumption yako ukaungaunga non sequitur logical fallacy.

Unaposema "nina uhakika" unatakiwa uwe na ushahidi na uthibitisho ku back uhakika wako.

Ushahidi wako uko wapi?

Usiweke conjecture, usiweke assumption, weka uthibitisho.
 
Hiv halieandika hiki kitabu mfano akiambiwa hatoe ushaid itakuwaje kumtaja jiwe haogop kufatiliwa na mamlaka
Hakika ni mjinga sana siyo tu kufuatiliwa, ni kuandika uongo maana yake ana washutumu usalama wa taifa wote kuwa walimchukua bs8 na kumpeleka aende kuuawa hahaha ila ni allegation ya kijinga sana tena sana na ya kitoto
 
Kumbe unafanya nini?

Hiyo picha ya Magufuli, imetumika fairly.

Unachosema wewe ni nini?
Sikuelewi upo all over the place na maandishi mengi hata hueleweki unachotaka kujua.

Chagua kimoja katika hivi viwili tukijadili:

Ninalia au unataka kujua ninachosema?
 
Magufuli alifanya hili tukio kwa mkono wake na humu jf ililetwa mpaka thread na ilikuwa ni kipindi ambacho kulikuwa na madai kwamba aliuliwa kwenye Moja ya safe houses za usalama halafu akapelekwa kwenye kisiwa Fulani kule bahari ya Hindi akamezwa na chatu ndio wavuvi wakaja wakaona shati na handkerchief baada ya madai haya ndio jamaa mmoja akaja akasema hapana aliuwawa na JPM kwa mkono wake mwenyewe.
Nakumbuka aliyeileta ile habari ni yule mwandamizi ID yake ni "ice" kwa kibantu siku hizi haonekani sana. Hata Kigogo aliwahi kusema hivyo hadi akaelezea mzmu wa mdau uliwahi kumtokea Jiwe hata akaogopa kuishi state h. Wazee wa legacy wanamtetea ila kwa nature yake lolote lingewezekana. May be Karma is real.
 
Tukio la raisi kumuua raia ikulu?

Huenda ni kweli lakini kwanini tulazimishe watu waamini bila uthibitisho?

Kama tukio la kumuuwa Ben ni dogo kwa Magufuli maana yake ameshafanya matukio makubwa kuliko hilo!

Unaweza kuyataja mkuu?

Waliofanyiwa ndiyo wanajua ,mmoja wapo ni LISSU.

Mwili wa Lissu ni matundu matupu.......Order ilitoka kwa JIWE.

Leopold Lwajabe.....Alikataa kutoa pesa zikatumike ndivyo sivyo.
 
Nanukuu......
Kitabu cha “In the Name of the President: Memoirs of a Jailed Journalist” kilichoandikwa na Erick Kabendera, @kabsjourno kimeanza kuuzwa leo. Mwandishi anaeleza kuhusu kutekwa na kuuwawa kwa Ben Rabiu Focas Saanane, December 2016 alipigwa risasi na mwili wake kutupwa mto Rufiji.

View attachment 3189981View attachment 3189980
Okay, he is there.

Taratibu Classified Informations zinaanza kuvujishwa, Moto wa pumba unazidi kufukuta chini kwa chini, karibu unakaribia kulipuka na kisha kuunguza msitu wote kabisa wanaoutumia katika kuficha Siri zao
Muda utaongea.
 
Sikuelewi upo all over the place na maandishi mengi hata hueleweki unachotaka kujua.

Chagua kimoja katika hivi viwili tukijadili:

Ninalia au unataka kujua ninachosema?
This logical fallacy is called a false dichotomy.

Inawezekana kabisa unalialia sana mpaka sikuelewi unachotaka kusema.

Unalia na nataka kuelewa unachotaka kusema.

There is no contradiction there.

Your proposition is fallacious.

The fallacy is false dichotomy.
 
This logical fallacy is called a false dichotomy.

Inawezekana kabisa unalialia sana mpaka sikuelewi unachotaka kusema.

Unalia na nataka kuelewa unachotaka kusema.

There is no contradiction there.

Your proposition is fallacious.

The fallacy is false dichotomy.
Haya unayoandika hapa ni fallacy of generalisation. Umeifanya mwanzo kabisa nikashindwa kukuelewa, unaifanya sasa hivi pia.

Kutokea kwenye original post niliyoandika hebu sema wapi haujaelewa
 
Mkuu, samahani hivi kuna ushahidi gani kuwa Mo Dewji alitekwa na serikali? Maana mwenyewe alikuwa akihojiwa BBC akadai ni watu wa nje ya nchi.. Na Magufuli alisikika akimkosoa Mambosasa kuhusu maelezo ya polisi waliyokuwa wakitoa
Naomba kama utakua na chanzo plz, maana na mimi natafuta sana ukweli wa hili swala
Dah ila ni kweli kua wabongo wengi tuna akili ndogo kias hiki..yaani wat kutoka nje waje nchi wamteke mfanya biashara number 1 nchi hii asubuhi na mapema wakae nae zaid ya masaa ishirini na nne humu humu ndani..then wamalizane nae wakamtupe bila kujulikana Wala kukamatwa mhusika ata Mmoja,..
Bro ebu tuheshimiane basi.
 
Haya unayoandika hapa ni fallacy of generalisation. Umeifanya mwanzo kabisa nikashindwa kukuelewa, unaifanya sasa hivi pia.

Kutokea kwenye original post niliyoandika hebu sema wapi haujaelewa
Fallacy of generalization iko wapi?

Ioneshe iko wapi, weka hoja ya kimantiki kuionesha. Usiitaje tu.

Umekubali kuwa kunitaka nichague kuhusu wewe kulia au kukuelewa unasema nini ni false dichotomy fallacy?
 
nina uhakika" unatakiwa uwe na ushahidi na uthibitisho ku back uhakika
Nasema nina uhakika kwa sababu hana ushahidi mwingine wa kuaminisha watu kuhusu allegation aliyoitoa kwa Magu...

Mtu mwenye akili isiyo fikiri kimantiki ni rahisi kuamini ni kweli Magufuli alimuua Ben kwa kuangalia picha ya cover tu...
 
Back
Top Bottom