Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Itaje hapa mikoa ya Waislam au ngoja nikusaidie
1. Lindi
2. Mtwara
3. Kigoma/Ujiji
4. Tabora
5. Pwani
Najua utakimbilia Dar ila kwa taarifa yako Dar imejengwa na wageni na hata sasa idadi ya Wakristo na waislam Dar huenda ikawa sswa na angalia hadhi ya maeneo wanayoishi wasilam wengi ( Mbagala, Kigogo, Magomeni, Tandika/Temeke stereo, Chanika, nk) ulinganishe na maeneo ya wakristo wengi (Mbezi beach, Oysterbay, Goba, Mbezi ya Kimara n.k)
Unajua mambo mengine ukiyapa majina haya ya fallacy sijui thesis, antithesis, sythesis, yanachanganya watu bila sababu.Nimependa sana maelezo haya....Natamani sana ningelisoma hili katika synthesis stage....ila nimekuelewa sana.. (ulivyoanza nilijua unaanza mambo yako ya sijui nini nini fallacy😂😂😂,huwa unanichanganya)
Ni raisi gani hatumii uchawi hapo ikulu?Unalenga watu using wajua ama wanaokujua zaidi ya unavyo wafahamu?,that man was a real lucifer, he hired witchdoctors and gave them accommodation and other services in the state house and paid themjust to deal with his opponents,,,hujui tuliza.
Nukta...
Yeye aliajiri kabisa alikuwa anaishi naoNi raisi gani hatumii uchawi hapo ikulu?
Unafiki unawasaidia nini?
Umeandika nini??Jamaa akapata fursa ya kutokea kwa kuandika kitabu. Mbona wanaopotezwa na serikali za dunia hii ni wengi kabisa,magufuli hajaua hata watu buku. Wengine akina Stalin mao ze.dong waliua mamilioni
Hakuna aya yoyote kwenye vitabu vya Mungu iliyoagiza tumsamehe Shetani.Inawezekana ni kweli lakini inahusiana nini na uzi huu?
Sasa hivi mambo safi sio!Kipindi cha Magu hakuna mwenye utimamu wa akili aliyepinga utawala ule wa kiimla ,ama taasisi zilizokuwa zikitetea justice ama uhuru wa Habari na ulinzi wa taarifa ilibaki salama.
JF yenyewe ilipitia misukosuko sio poaa wakimlazimisha Max atoe taarifa za watu,baada ya kukaza wakamfungulia makes kibao,Max Kisutu ilikuwa kama ghetto tu, haikutosha wakajaribu kufungia akaunti zote za taasisi, JF ikalazimika kupunguza wafanyakazi almost nusu, ili kubana matumizi,Max ikabibi Apunguzi mawakili aanze kujitetea mwenyewe kuukabili ukata, that dude was a lucifer typically.,halafu unakuja unasemasema tu kumtetea
Mdomo au kalamu??Uo mdomo ndio ulio kuponza? Wakikuambia lete ushahidi?
Dini inahusikaje hapo kama sio ujingaIla viongozi wakristu nchi hii huwa washamba sana,yaani ubabe,udikteta koko nk,kuongoza kwenyewe hawawezi,wakikalia kiti sijui hujiona miungu watu!
The same story is ,Lakin those days Kuna mengi yalikuwa hayaripotiwi maana hata wana Habari walikuwa wanapewa warning,kwa sasa angalau hata tqarifa zinatolewa watu wamepotea ama kuuawa,,tawala zote nk zakizalimu but that dude was too muchSasa hivi mambo safi sio!
Watu hawabambikiwi kesi wala kuuwawa sio?
Kungekuwa na namna serikali ingetoa ufafanuzi hata kama hauna ukweli ila kuna kuwepo na kauli ya serikali kuhusu jambo au tukio fulani kenye utata kama hili la kupotea kwa ndugu huyu.Za chini chini zinasema huyo kijana alipigwa risasi na vijana wa aliyekuwa mkuu wa mkoa pendwa enzi za magufuli, kisha mwili wake ukatumbukizwa kwenye pipa la sulfuric acid na kuyeyuka wote na hiyo haikuwa amri ya magufuli, na wala hakuwa mbaya kama watu wanavyotaka kutuaminisha mbaya wa nchi anajulikana ila watu wanajitoa ufahamu tu