Erick Kabendera kupitia Kitabu chake: Ben Saanane aliuawa na Rais Magufuli na maiti yake ikatupwa Mto Rufiji


Wakiristo si mnakula share kubwa zaidi ya keki ya Taifa!
 
Nimependa sana maelezo haya....Natamani sana ningelisoma hili katika synthesis stage....ila nimekuelewa sana.. (ulivyoanza nilijua unaanza mambo yako ya sijui nini nini fallacy😂😂😂,huwa unanichanganya)
Unajua mambo mengine ukiyapa majina haya ya fallacy sijui thesis, antithesis, sythesis, yanachanganya watu bila sababu.

Natamani Kiswahili kingekuwa na maneno rahisi yanayojulikana kuelezea, ila mara nyingine Kiswahili ndiyo kinachanganya zaidi.
 
Ni raisi gani hatumii uchawi hapo ikulu?

Unafiki unawasaidia nini?
 
Kipindi cha Magu hakuna mwenye utimamu wa akili aliyepinga utawala ule wa kiimla ,ama taasisi zilizokuwa zikitetea justice ama uhuru wa Habari na ulinzi wa taarifa ilibaki salama.

JF yenyewe ilipitia misukosuko sio poaa wakimlazimisha Max atoe taarifa za watu,baada ya kukaza wakamfungulia makes kibao,Max Kisutu ilikuwa kama ghetto tu, haikutosha wakajaribu kufungia akaunti zote za taasisi, JF ikalazimika kupunguza wafanyakazi almost nusu, ili kubana matumizi,Max ikabibi Apunguzi mawakili aanze kujitetea mwenyewe kuukabili ukata, that dude was a lucifer typically.,halafu unakuja unasemasema tu kumtetea
 
Sasa hivi mambo safi sio!

Watu hawabambikiwi kesi wala kuuwawa sio?
 
Kungekuwa na namna serikali ingetoa ufafanuzi hata kama hauna ukweli ila kuna kuwepo na kauli ya serikali kuhusu jambo au tukio fulani kenye utata kama hili la kupotea kwa ndugu huyu.

Ile serikali iliyo kuwepo hakuna namna ingejitenga na hili tukio.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…