Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
daah ile picha sio kabisa ilimuonesha ffu ameshika kichwa kapigwa butwaa haamini kama anachoshuhudia ni utumbo wa binadam mtu mzima umetapakaa chini yan sio poa kabisaPicha ya mwangosi akipigwa bomu ziliwekwa mitandaoni na magazetini uliziona?
Hizo za chinichini zimeanzia humu JF, nazo hazina ushahidi kama haya madai ya Kabendera.Za chini chini zinasema huyo kijana alipigwa risasi na vijana wa aliyekuwa mkuu wa mkoa pendwa enzi za magufuli, kisha mwili wake ukatumbukizwa kwenye pipa la sulfuric acid na kuyeyuka wote na hiyo haikuwa amri ya magufuli, na wala hakuwa mbaya kama watu wanavyotaka kutuaminisha mbaya wa nchi anajulikana ila watu wanajitoa ufahamu tu
Kabendera alikuwa anafanya kazi gani katika taasisi ipi ya serikali ya Tanzania?Kabendera angekuwa nchi kama Russia angeuwawa kwa sumu, China angenyongwa, Marekani angeuwawa na kudaiwa amefanya suicide, Israel uko ndio angefungwa kama Mordechai Vanunu.
Kabendera alikuwa anauza taarifa za nchi nje kwa siri, lengo sio kusaidia nchi bali kupata faida binafsi za kiuchumi. Uko ndio akapata hela akajenga mjengo wake mkubwa alionao sasahivi.
Taarifa zake sometimes zilikuwa sahihi, ila hazikuwa na faida kwetu akiziuza nje.
Huyu hata angeambiwa andika kusema Tanzania inadhamini na kuwapa silaha waasi wa DRC ili inunue madini kwao angeandika. Yeye mradi alipwe, ndio maana alikamatwa na hela hazijulikani zimetoka wapi na kwa malipo ya nini. Waandishi kama hawa wapo wengi Nigeria na bara la Afrika, wananunuliwa kwa vipande vya fedha.
Kuhusu kukataliwa kutoka kizuizini akamzike mama yake hiyo sio ajabu mbele ya sheria. Wenzake kina Snowden wakichezea national interests hawaleti chuki kwa waliowakamata, hakunaga mole, double agent au spy anayekamatwa alafu akamchukia aliyemkamata. Huyo anakuwa kavamia fani.
Walioshuhudia wanasema ni kwa mkono wake mwenyewe
wew inaelekea unajua kitu.Kabendera angekuwa nchi kama Russia angeuwawa kwa sumu, China angenyongwa, Marekani angeuwawa na kudaiwa amefanya suicide, Israel uko ndio angefungwa kama Mordechai Vanunu.
Kabendera alikuwa anauza taarifa za nchi nje kwa siri, lengo sio kusaidia nchi bali kupata faida binafsi za kiuchumi. Uko ndio akapata hela akajenga mjengo wake mkubwa alionao sasahivi.
Taarifa zake sometimes zilikuwa sahihi, ila hazikuwa na faida kwetu akiziuza nje.
Huyu hata angeambiwa andika kusema Tanzania inadhamini na kuwapa silaha waasi wa DRC ili inunue madini kwao angeandika. Yeye mradi alipwe, ndio maana alikamatwa na hela hazijulikani zimetoka wapi na kwa malipo ya nini. Waandishi kama hawa wapo wengi Nigeria na bara la Afrika, wananunuliwa kwa vipande vya fedha.
Kuhusu kukataliwa kutoka kizuizini akamzike mama yake hiyo sio ajabu mbele ya sheria. Wenzake kina Snowden wakichezea national interests hawaleti chuki kwa waliowakamata, hakunaga mole, double agent au spy anayekamatwa alafu akamchukia aliyemkamata. Huyo anakuwa kavamia fani.
Si kimenunuliwa kwa kodi zetu, mali ya ummaUnapokuwa kiongozi wa Umma hata kiatu chako kikitoboka kitapigwa picha na kuonyeshwa hadharani
daah watu mna vichwa vigumu wkt mlichoonyeshwa apo ni paragraph moja tu ya kitabu kikubwa.Mpaka sasa hatuna evidence
Watachafuka sana , chama na serikali kwa ujumla wakeNimekuelewa sana! Kama ndivyo, hayo yanafanyika kwa faida ya nani? Kwani aliokuwa ni wa chama cha upinzani yule?! Sasa kumchafua yeye si ni kujichafua wenyewe wote hasa katika kipindi hiki cha uchaguzi mkuu?! Wapinzani wakikomaa na hii point kwenye kampeni, wahusika watatoboa kweli?
Kabendera ni mwandishi wa habari, akawa anaandika taarifa za kiuchunguzi na kutafuta majarida ya nje aziuze, sio asaidie. Mtofautishe na yule mwandishi aliyefariki awamu ya Mwinyi aliyeandika kuhusu Loliondo kuuzwa, huyo alitaka kusaidia nchi.Kabendera alikuwa anafanya kazi gani katika taasisi ipi ya serikali ya Tanzania?
Waliokuwa wanampa taarifa alizokuwa anaziuza ni wakina nani?
Kwa nini bado yuko uraiani kama haya madai ni ya kweli?
Unaposema "wenzake" akina Snowden unamaanisha Kabendera alikuwa jasusi wa serikali?
Pia hakuna ushahidi wa Marekani kuua watu wanaodaiwa kuvujisha siri za serikali ya Marekani kwa maadui zake. Huwa wanakamatwa, kufunguliwa mashitaka na kufungwa na wapo wengi mfano Robert Philip Hanssen, Jack Teixeira, Reality Winner n.k
Rudia kusoma, aliletewa akaua mwenyeweAliye mtuma watu wamuue nae kafariki kikatili sana hii ndio karma
HahaaaaaaaBalaa..wanadai ilipofika zamu,alimwaga samadi si mchezo,'kila nafsi itaonja mauti'-quran
Wewe ushuhuda unao? Huna.daah watu mna vichwa vigumu wkt mlichoonyeshwa apo ni paragraph moja tu ya kitabu kikubwa.
wew kanunue icho kitabu usome humo ndani uone uo ushuhuda ulivyojengwa ndo uanze hayo mabishano au vinginevo ulete ushahidi wako.
Magu hakupenda kukosolewa na aliona ni mpinga maendeleo...Mi siamini...
...Ni Hayo Tu!
Kabendera anadai viongozi wa upinzani na serikali alioongea nao wanajua. Ni kina nani hao?wew inaelekea unajua kitu.
umenyorosha maelezo hadi raha.
safi sana.
sasa na huyu Ben mlimpeleka wapi? maana naona mnampinga mkuu kabendera?
mnatuchanganya.