Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amazon @ 18 usdKitabu kinapatikana wapi?Nawezapata soft copy?
Duniani kote, raia wanakaguliwa miamala wanayopokea. Inashtua zaidi iwapo utapokea muamala mkubwa bila kuwa na maelezo ya transaction ya pesa hizo.Hili ni kosa kwa mujibu wa sheria za nchi?
Mamlaka haiwezi kuruhusu picha hiyo kutumika ktk kitabu cha aina hii.Magufuli alikuwa ni Kiongozi wa nchi. Je mamlaka zimetoa ruhusa kutumika picha yake kwenye "kitabu cha aina hii"?
Kabendera sio kibaraka kama ambavyo mtakatatifu meko alitaka kutuaminisha watanzania kuwa ni Kibaraka wa baricc
Mamlaka haiwezi kuruhusu picha hiyo kutumika ktk kitabu cha aina hii.
Kiranga huwa anaendeshwa na mihemko katika kutetea hoja zake.
Hiyo picha ni muhimu sana ikabaki hapo. Kumbuka mwandishi alishapitia reveaw mbalimbali hajaja mtandaoni kuomba ushauri. Kazi yake imeisha kazi ni kwa msomajiNakubaliana na hilo. Kwenye uandishi unaozingatia taratibu, picha zote hutumika kwa kibali cha wamiliki.
Binafsi naona picha hiyo iondolewe kutoka kwenye ukurasa wa juu kabisa wa kitabu hicho
Miamala mikubwa ambayo mtu ukipokea Tanzania lazima iwe na maelezo ni kiasi gani?? Jengo la thamani ya kiasi gani ukimiliki lazima uwe na kipato cha kueleweka?Duniani kote, raia wanakaguliwa miamala wanayopokea. Inashtua zaidi iwapo utapokea muamala mkubwa bila kuwa na maelezo ya transaction ya pesa hizo.
Hata Marekani ukiwa unaingia Airport watakuuliza kama unavkiasi chochote cha dollar 💵 ulizonazo unapoingia nchini. Pia wakiona unafanya manunuzi makubwa ya vitu vya thamani na hata kujenga majengo ya ukweli bila ya kuwa na chanzo cha mapato yako ya kueleweka. Wanaanza kukumulika zaidi. Huenda wewe unajihusisha na madawa, unafadhili ugaidi au aina nyingine ya money laundering. Hivyo ku monitor ni kwa kuhakikisha usalama wa nchi
Walipommulika zaidi Kabendara walikuta anajihusisha na nini?Duniani kote, raia wanakaguliwa miamala wanayopokea. Inashtua zaidi iwapo utapokea muamala mkubwa bila kuwa na maelezo ya transaction ya pesa hizo.
Hata Marekani ukiwa unaingia Airport watakuuliza kama unavkiasi chochote cha dollar 💵 ulizonazo unapoingia nchini. Pia wakiona unafanya manunuzi makubwa ya vitu vya thamani na hata kujenga majengo ya ukweli bila ya kuwa na chanzo cha mapato yako ya kueleweka. Wanaanza kukumulika zaidi. Huenda wewe unajihusisha na madawa, unafadhili ugaidi au aina nyingine ya money laundering. Hivyo ku monitor ni kwa kuhakikisha usalama wa nchi
Miamala mikubwa ambayo mtu ukipokea Tanzania lazima iwe na maelezo ni kiasi gani?? Jengo la thamani ya kiasi gani ukimiliki lazima uwe na kipato cha kueleweka?
Walipommulika zaidi Kabendara walikuta anajihusisha na nini?
Hukumu yake ni nini kisheria kwa hili kosa?Kuichafua nchi kwa kupitia jarida la The Economist.
Kuna mengine yanashughulikiwa kiutawalaHukumu yake ni nini kisheria kwa hili kosa?
Serikali waligundua hiyo pesa imetoka nje katika vyanzo au watu gani?Sina uhakika ni kiasi gani. Lkn jua ya kuwa miamala yote ya pesa kutoka/kwenya nje, inamulikwa. Kabendera alikutwa kwenye akaunti yake pesa iliyotoka nje kama US$ 200,000. Ambayo haikuonesha alilipwa baada ya biashara gani.
Unamaanisha nini ukisema "kiutawala"?Kuna sina mengine yanashughulikiwa kiutawala
Acha kuhalalisha ushetani wa Magufuli kwa mifano ya akina Stalin.Jamaa akapata fursa ya kutokea kwa kuandika kitabu. Mbona wanaopotezwa na serikali za dunia hii ni wengi kabisa,magufuli hajaua hata watu buku. Wengine akina Stalin mao ze.dong waliua mamilioni
Unamaanisha nini ukisema "kiutawala"?