Erick Kabendera kupitia Kitabu chake: Ben Saanane aliuawa na Rais Magufuli na maiti yake ikatupwa Mto Rufiji

Hili ni kosa kwa mujibu wa sheria za nchi?
Duniani kote, raia wanakaguliwa miamala wanayopokea. Inashtua zaidi iwapo utapokea muamala mkubwa bila kuwa na maelezo ya transaction ya pesa hizo.
Hata Marekani ukiwa unaingia Airport watakuuliza kama unavkiasi chochote cha dollar 💵 ulizonazo unapoingia nchini. Pia wakiona unafanya manunuzi makubwa ya vitu vya thamani na hata kujenga majengo ya ukweli bila ya kuwa na chanzo cha mapato yako ya kueleweka. Wanaanza kukumulika zaidi. Huenda wewe unajihusisha na madawa, unafadhili ugaidi au aina nyingine ya money laundering. Hivyo ku monitor ni kwa kuhakikisha usalama wa nchi
 
Mamlaka haiwezi kuruhusu picha hiyo kutumika ktk kitabu cha aina hii.

Kiranga huwa anaendeshwa na mihemko katika kutetea hoja zake.

Nakubaliana na hilo. Kwenye uandishi unaozingatia taratibu, picha zote hutumika kwa kibali cha wamiliki.
Binafsi naona picha hiyo iondolewe kutoka kwenye ukurasa wa juu kabisa wa kitabu hicho
 
Hiyo picha ni muhimu sana ikabaki hapo. Kumbuka mwandishi alishapitia reveaw mbalimbali hajaja mtandaoni kuomba ushauri. Kazi yake imeisha kazi ni kwa msomaji
 
Duniani kote, raia wanakaguliwa miamala wanayopokea. Inashtua zaidi iwapo utapokea muamala mkubwa bila kuwa na maelezo ya transaction ya pesa hizo.
Hata Marekani ukiwa unaingia Airport watakuuliza kama unavkiasi chochote cha dollar 💵 ulizonazo unapoingia nchini. Pia wakiona unafanya manunuzi makubwa ya vitu vya thamani na hata kujenga majengo ya ukweli bila ya kuwa na chanzo cha mapato yako ya kueleweka. Wanaanza kukumulika zaidi. Huenda wewe unajihusisha na madawa, unafadhili ugaidi au aina nyingine ya money laundering. Hivyo ku monitor ni kwa kuhakikisha usalama wa nchi
Miamala mikubwa ambayo mtu ukipokea Tanzania lazima iwe na maelezo ni kiasi gani?? Jengo la thamani ya kiasi gani ukimiliki lazima uwe na kipato cha kueleweka?
 
Walipommulika zaidi Kabendara walikuta anajihusisha na nini?
 
Miamala mikubwa ambayo mtu ukipokea Tanzania lazima iwe na maelezo ni kiasi gani?? Jengo la thamani ya kiasi gani ukimiliki lazima uwe na kipato cha kueleweka?

Sina uhakika ni kiasi gani. Lkn jua ya kuwa miamala yote ya pesa kutoka/kwenda nje, inamulikwa. Kabendera alikutwa kwenye akaunti yake pesa iliyotoka nje kama US$ 200,000. Ambayo haikuonesha alilipwa baada ya biashara gani.
 
Sina uhakika ni kiasi gani. Lkn jua ya kuwa miamala yote ya pesa kutoka/kwenya nje, inamulikwa. Kabendera alikutwa kwenye akaunti yake pesa iliyotoka nje kama US$ 200,000. Ambayo haikuonesha alilipwa baada ya biashara gani.
Serikali waligundua hiyo pesa imetoka nje katika vyanzo au watu gani?
 
Jamaa akapata fursa ya kutokea kwa kuandika kitabu. Mbona wanaopotezwa na serikali za dunia hii ni wengi kabisa,magufuli hajaua hata watu buku. Wengine akina Stalin mao ze.dong waliua mamilioni
Acha kuhalalisha ushetani wa Magufuli kwa mifano ya akina Stalin.
Zile zama za akina Stalin na Hitler sio zama za Magufuli.
Magufuli ni muovu na alikufa vibaya sana. Sema tu ni siri
 
Back
Top Bottom