Stroke
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 37,630
- 47,434
Kabendera kaandika kuwa kaambiwa.Sio swala la chuki hapo tatizo mtu akikosoa mamlaka hii nchi basi uwa anapachikwa jina la kibaraka..
Hapo huyo mwandishi amemtuhumu aliyekuwa rais wa nchi yetu na mimi sioni tatizo maana alikuwa binadamu na inawezekana alikuwa na mapungufu pia ambayo baadhi ya watu waliyaona maan walipata madhira mbalimbali.
Sasa kama serikali inataka kumtetea mwenda zake basi utaratibu ufuatwe sio kuanza kumwita mtu msaliti sijui katumwa na maadui wa nchi..
Maadui gani hao ilhali nchi yenyewe nusu ya budget ni misaada kutoka nje huo uadui ni upi hasa sisi km tuta battle basi kaa ukijua ni ku battle na nchi jirani tu hapo kenya , uganda rwanda hao ndio saizi zetu tofauti na hapo ni kujidharirisha.
Nchi yetu ni changa mno na tunajitafuta karibu kwenye kila nyanja.
Alafu muda mwingine tutue common sense.
Sasa mambo ya kimbeya anakuja kutuletea sisi??