Erick Kabendera kupitia Kitabu chake: Ben Saanane aliuawa na Rais Magufuli na maiti yake ikatupwa Mto Rufiji

Nadhani suala la familia ya Ben Saanane kutaka kujua alipo mwanao linaenda kufikia tamati baada ya Kabendera kusema kuwa anajua pasi na shaka kuwa Magufuli alimuua Ben saanane kwa risasi.

Sasa ni muda muafaka kwa familia pamoja na jeshi la polisi kuhakikisha ukweli unafahamika na haki ya Ben inatendeka.

Mkiona kimyaaaa mjue kupotea kwa Ben siyo kwa kawaida na kunamkono wa…
 
Baada ya ukweli kudhibitika kuwa Mzee magu ndio alimuua saa nane mkuu,,je mtafukua maiti ya magu muiweke gerezani au mnatakajee 😔...

Kwann msiwaache marehemu Ben na magu walale walipo lala mkuu 😂
 
Kabendera anaelekea kuwa chizi. Anahitaji msaada wa kisaikolojia haraka
 
Nanukuu......
Kitabu cha “In the Name of the President: Memoirs of a Jailed Journalist” kilichoandikwa na Erick Kabendera, @kabsjourno kimeanza kuuzwa leo. Mwandishi anaeleza kuhusu kutekwa na kuuwawa kwa Ben Rabiu Focas Saanane, December 2016 alipigwa risasi na mwili wake kutupwa mto Rufiji.

View attachment 3189981View attachment 3189980
Kuna watu wanasema hii si kweli, Jibu langu kwao ni simple inatakiwa Ben Saanane ajitokeze na kupinga kuwa hakupigwa risasi na hajafa.
 
Clap your hands to this man.
TUNDU ANTIPAS LISSU,

Mimi sio mwanasiasa ila ni mfuatiliaji wa mambo ya kisiasa.

Hapa karibuni kuna kajitabu kaliwekwa sijui huko boomplay kalikotumika kumchafua mwendazake, kwa vijistori vya kutunga mara alitaka kum rape SHS wakati hata ukienda milembe ukatoa hii hoja vichaa watakupakulia mchuzi wa mawe wakihisi wewe ni mwenzao.

Sasa ujio wa mwamba Lissu katika uchaguzi wa mwenyekiti kazima ushuzi wote uliokuwa unaongelewa wa kaflag maana ake hakuna tena promo ila hii nchi!

Anyway kwa nyinyi CHADEMA mkitaka kupata ushindi mwaka wa uchaguzi basi jitahidini kupata mwenyekiti sahihi ambae anaweza kuzima kelele za vijusi wote, na pia mwamba ana sera kama za mwendazake hivyo mtabeba kura hata asipopiga kampeni maana yupo kama Trump vile.

Napendaga sana viongozi wa hivi.
 
Kitaalam kumzungumzia au kumkosoa mtu huku kunaitwa mental disabilities, haiwezekan kumzungumzia mtu ambaye hawez jibu tuhuma,pia ni ukosefu wa fikra fikirishi,alafu kingine labda niongozee jiwe hakuwa malaika kwamba kila kitu alikuwa clean isipokuwa mengineyo alifanya kama binadamu wa kawaida wafanyavyo,
Iddi amin anaweza kujibu?
 
Nipata nakala ya kitabu chake nikapitia ila tokea kutolewa uwezi sikia wala kuzungumziwa kuanzia hapa JF wala kwenye mijadala yoyote.

Ili yaliyomo yanatisha kwenye nchii na ndio maana wanatumia media sana na michezo kuzima mijadala ya ukweli kuhusu wao.

IMG_0787.jpeg
 
Nanukuu......
Kitabu cha “In the Name of the President: Memoirs of a Jailed Journalist” kilichoandikwa na Erick Kabendera, @kabsjourno kimeanza kuuzwa leo. Mwandishi anaeleza kuhusu kutekwa na kuuwawa kwa Ben Rabiu Focas Saanane, December 2016 alipigwa risasi na mwili wake kutupwa mto Rufiji.

View attachment 3189981View attachment 3189980
KARMA is https://jamii.app/JFUserGuide bitch,,,,,you get what you deserve!!
 
ila magufuli.kuna vitu vizuri alifanya kwa ajili ya tanzania tumpongeze.ila pia tumlaumu kwa huu ukatili
 
Nanukuu......
Kitabu cha “In the Name of the President: Memoirs of a Jailed Journalist” kilichoandikwa na Erick Kabendera, @kabsjourno kimeanza kuuzwa leo. Mwandishi anaeleza kuhusu kutekwa na kuuwawa kwa Ben Rabiu Focas Saanane, December 2016 alipigwa risasi na mwili wake kutupwa mto Rufiji.

View attachment 3189981View attachment 3189980
Kwanini kitabu kimetoka baada ya raisi kufaliki.
Je lengo ni la kabendera ni kusema umbea?
Je lengo la kabendera ni kufurahisha watawala walio kinyume na mtangulizi wao
Je lengo la kabendera ni kutafuta favour kwa watawala?
Je lengo la kabendera ni kuunga mkono jotihada za mama kwa namna tofauti? ?
 
Baada ya ukweli kudhibitika kuwa Mzee magu ndio alimuua saa nane mkuu,,je mtafukua maiti ya magu muiweke gerezani au mnatakajee 😔...

Kwann msiwaache marehemu Ben na magu walale walipo lala mkuu 😂
Katika makundi ya wastaarabu alipaswa kufutiwa Haki zake zote za utumishi ikiwamo ukuu wa nchi hivyo hata haki ya pension kwa warithi ilipaswa kusimama.
Hii ingekuwa ni fundisho kwa wengine kuwa matendo yao mabaya yataathiri hadi familia zao wakiondoka duniani.
Ndio maana hata MUNGU kama tusomavyo maandiko, alikuwa ana achia LAANA hadi kizazi cha nne kwa yeyote anayetenda maovu mabaya kwenye jamii.
Hilo lingefungua akili zetu na maumivu hasa tukijua matendo yetu mabaya yatawarudia wake/waume na watoto wetu badala ya kuogelea kwenye utajiri.
Mke na mtoto wa Ben hadi leo wanalia, lakini wa Jiwe na watoto waogelea kwenye dimbwi la utajiri.
 
Una upeo wa kiccm
 
NI UJINGA KUFIKIRIA MAMBO HAYO
 
NI UJINGA KUFIKIRIA MAMBO HAYO
Pia ni ufala kutunza familia ya mtu aliye poteza maisha ya mume wenu na tegemeo la familia yenu (according to Kabenderas book) maana mrs Saa8 na wazazi wake ni walipakodi na hiyo familia inaishi kwa kodi zao wakati wao wanahangaika na kubangaiza.
Think twice kijana!
 
Kuna watu wanasema hii si kweli, Jibu langu kwao ni simple inatakiwa Ben Saanane ajitokeze na kupinga kuwa hakupigwa risasi na hajafa.
Tuliomjua Ben Saanane, tunatambua yumo hapa JF na anadunda tu.

Itoshe kusema, Ben Saanane na tundu lissu wametumiwa kama makafara kuchafua hali ya Kisiasa nchini.

hali hiyo haikubaliki, washugulikiwe tena kama bado.
 
Back
Top Bottom