eliakeem
JF-Expert Member
- May 29, 2009
- 17,214
- 15,853
Kwahiyo kalipwa tena?
Hilo swali kamuulize Kabendera
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo kalipwa tena?
Kabendera anaelekea kuwa chizi. Anahitaji msaada wa kisaikolojia harakaNadhani suala la familia ya Ben Saanane kutaka kujua alipo mwanao linaenda kufikia tamati baada ya Kabendera kusema kuwa anajua pasi na shaka kuwa Magufuli alimuua Ben saanane kwa risasi.
Sasa ni muda muafaka kwa familia pamoja na jeshi la polisi kuhakikisha ukweli unafahamika na haki ya Ben inatendeka.
Mkiona kimyaaaa mjue kupotea kwa Ben siyo kwa kawaida na kunamkono wa…
Kuna watu wanasema hii si kweli, Jibu langu kwao ni simple inatakiwa Ben Saanane ajitokeze na kupinga kuwa hakupigwa risasi na hajafa.Nanukuu......
Kitabu cha “In the Name of the President: Memoirs of a Jailed Journalist” kilichoandikwa na Erick Kabendera, @kabsjourno kimeanza kuuzwa leo. Mwandishi anaeleza kuhusu kutekwa na kuuwawa kwa Ben Rabiu Focas Saanane, December 2016 alipigwa risasi na mwili wake kutupwa mto Rufiji.
View attachment 3189981View attachment 3189980
Iddi amin anaweza kujibu?Kitaalam kumzungumzia au kumkosoa mtu huku kunaitwa mental disabilities, haiwezekan kumzungumzia mtu ambaye hawez jibu tuhuma,pia ni ukosefu wa fikra fikirishi,alafu kingine labda niongozee jiwe hakuwa malaika kwamba kila kitu alikuwa clean isipokuwa mengineyo alifanya kama binadamu wa kawaida wafanyavyo,
Nanukuu......
Kitabu cha “In the Name of the President: Memoirs of a Jailed Journalist” kilichoandikwa na Erick Kabendera, @kabsjourno kimeanza kuuzwa leo. Mwandishi anaeleza kuhusu kutekwa na kuuwawa kwa Ben Rabiu Focas Saanane, December 2016 alipigwa risasi na mwili wake kutupwa mto Rufiji.
View attachment 3189981View attachment 3189980
Duuh Hatari sana!Nipata nakala ya kitabu chake nikapitia ila tokea kutolewa uwezi sikia wala kuzungumziwa kuanzia hapa JF wala kwenye mijadala yoyote.
Ili yaliyomo yanatisha kwenye nchii na ndio maana wanatumia media sana na michezo kuzima mijadala ya ukweli kuhusu wao.
View attachment 3262297
KARMA is https://jamii.app/JFUserGuide bitch,,,,,you get what you deserve!!Nanukuu......
Kitabu cha “In the Name of the President: Memoirs of a Jailed Journalist” kilichoandikwa na Erick Kabendera, @kabsjourno kimeanza kuuzwa leo. Mwandishi anaeleza kuhusu kutekwa na kuuwawa kwa Ben Rabiu Focas Saanane, December 2016 alipigwa risasi na mwili wake kutupwa mto Rufiji.
View attachment 3189981View attachment 3189980
Kwanini kitabu kimetoka baada ya raisi kufaliki.Nanukuu......
Kitabu cha “In the Name of the President: Memoirs of a Jailed Journalist” kilichoandikwa na Erick Kabendera, @kabsjourno kimeanza kuuzwa leo. Mwandishi anaeleza kuhusu kutekwa na kuuwawa kwa Ben Rabiu Focas Saanane, December 2016 alipigwa risasi na mwili wake kutupwa mto Rufiji.
View attachment 3189981View attachment 3189980
Katika makundi ya wastaarabu alipaswa kufutiwa Haki zake zote za utumishi ikiwamo ukuu wa nchi hivyo hata haki ya pension kwa warithi ilipaswa kusimama.Baada ya ukweli kudhibitika kuwa Mzee magu ndio alimuua saa nane mkuu,,je mtafukua maiti ya magu muiweke gerezani au mnatakajee 😔...
Kwann msiwaache marehemu Ben na magu walale walipo lala mkuu 😂
Una upeo wa kiccmBaada ya ukweli kudhibitika kuwa Mzee magu ndio alimuua saa nane mkuu,,je mtafukua maiti ya magu muiweke gerezani au mnatakajee 😔...
Kwann msiwaache marehemu Ben na magu walale walipo lala mkuu 😂
ILA SHETANI MBOWE ULIKUBALI KUMSAMEHE KWASABABU ANAKUPELEKEA MOTO SIYO? WANGWE ALIMPELEKA WAPI?Hakuna aya yoyote kwenye vitabu vya Mungu iliyoagiza tumsamehe Shetani
NI UJINGA KUFIKIRIA MAMBO HAYOKatika makundi ya wastaarabu alipaswa kufutiwa Haki zake zote za utumishi ikiwamo ukuu wa nchi hivyo hata haki ya pension kwa warithi ilipaswa kusimama.
Hii ingekuwa ni fundisho kwa wengine kuwa matendo yao mabaya yataathiri hadi familia zao wakiondoka duniani.
Ndio maana hata MUNGU kama tusomavyo maandiko, alikuwa ana achia LAANA hadi kizazi cha nne kwa yeyote anayetenda maovu mabaya kwenye jamii.
Hilo lingefungua akili zetu na maumivu hasa tukijua matendo yetu mabaya yatawarudia wake/waume na watoto wetu badala ya kuogelea kwenye utajiri.
Mke na mtoto wa Ben hadi leo wanalia, lakini wa Jiwe na watoto waogelea kwenye dimbwi la utajiri.
Pia ni ufala kutunza familia ya mtu aliye poteza maisha ya mume wenu na tegemeo la familia yenu (according to Kabenderas book) maana mrs Saa8 na wazazi wake ni walipakodi na hiyo familia inaishi kwa kodi zao wakati wao wanahangaika na kubangaiza.NI UJINGA KUFIKIRIA MAMBO HAYO
Tuliomjua Ben Saanane, tunatambua yumo hapa JF na anadunda tu.Kuna watu wanasema hii si kweli, Jibu langu kwao ni simple inatakiwa Ben Saanane ajitokeze na kupinga kuwa hakupigwa risasi na hajafa.