Erick Kabendera kupitia Kitabu chake: Ben Saanane aliuawa na Rais Magufuli na maiti yake ikatupwa Mto Rufiji

Kabendera kaandika kuwa kaambiwa.
Sasa mambo ya kimbeya anakuja kutuletea sisi??
 
Huyo ni mpuuzi mmoja tu.

Yaani anatulazimisha nchi nzima tuziamini TRUSTED SOURCE ZAKE??

sio nchi tu bali ni Dunia nzima.

Hivi kweli mkuu pale magogoni mtu auwawe na isijulikane mpaka aje atuambie Kabendera???

Please.
 
Tanzania iliyotajwa hapa unaweza ukahisi ni China. Anakuambia inakua kiuchumi.

Mpelekeni mahakamani huyo mwandishi akatoe ushahidi, wasiwasi wa nini?
 
Huyo ni mpuuzi mmoja tu.

Yaani anatulazimisha nchi nzima tuziamini TRUSTED SOURCE ZAKE??

sio nchi tu bali ni Dunia nzima.

Hivi kweli mkuu pale magogoni mtu auwawe na isijulikane mpaka aje atuambie Kabendera???

Please.
Wewe ni wale wa kilichokuwa "kikosi maalumu cha mwendazake cha kuua na kutesa", au siyo..?

Mbona unabweka tu bila hoja...?

Huamini "Trusted sources" zake?

Kwani "kutoamini kwako" kunaondoa ukweli wa tukio kuwa lilitokea..?

Swali rahisi kwako ni hili:

KWANI BEN SANANE YUKO WAPI? KILIMTOKEA NINI MAANA ALICHUKULIWA NA VYOMBO VYA DOLA VYA SERIKALI KAMA TU ILIVYOKUWA KWA MZEE ALLY KIBAO, KINA DEUS SOKA NA WENGINE NA MPAKA HAONEKANI..?

Show us, whare is Ben Sanane ili tumpuuze Erick Kabendera..!

Otherwise, acha kuwa mjinga. Kuwa mwerevu, tumia akili yako vyema kuchakata taarifa badala ya kubweka tu kama mbwa koko asiye na madhara..!
 
Anayebweka ni huyo kabendera pamoja na WeWe.

Msomi gani anaandika kitabu kwa stori za kuambiwa??

Hili ni andilo la PHD au ujinga tu kama mwingine??
 
Kabendera ana bahati ingekuwa nchi za waislamu kama syria watu wangemtafuta wakajitoa muhanga kwa ujinga wake. Yaani sasa tunawaza namna ya kuongoza east africa kwa uchumi halafu kuna mjinga mjinga anaanza kuleta ujinga wa kudhihaki mamlaka ya rais ambao ndiyo ngao yetu kama taifa. Yaani tubanane kwenye hoja ila siyo kudharau mamlaka ya rais. Mamlaka ya rais tukiruhusu idharauriwe matokeo yake ni kama Burundi na Congo na yaliyotokea Rwanda au Uganda. Mamlaka ya rais inapaswa kulindwa kwa gharama yeyote na iheshimike. Amani yetu ni kwa sababu ya uimara wa taasisi ya urais na rais mwenyewe. Leo hii anatokea mjinga tu kisa anajua kuandika anaaza kudhihaki mamlaka ya rais, inakera sana. Kabendera n mjinga sana na hana akili kabisa, hana tofauti na ayatola zito aliyesema wanaompenda Dkt Magufuli eti waende kwenye kabuli chato, very idiot ayatola zito
 
Hebu tusikie maoni ya
Lucas Mwashambwa na FaizaFoxy kabala hatumwomba Mshana Jr na Mamndenyi
 
Anayebweka ni huyo kabendera pamoja na WeWe.
Ni wewe unayebweka...

Sisi tunafikiri na kuchakata kila tunalosikia...
Msomi gani anaandika kitabu kwa stori za kuambiwa??
Rais Samia Suluhu Hassan aliambiwaga eti Dr Slaa na CHADEMA walikutanaga hotel fulani Arusha kupanga kupindua serikali yake kwa maandamano na yeye akatokeza kwenye TV kutangaza huo uongo..

Sasa jiulize hili kwanza, kuwa, tuna Rais gani huyu wa kusema stori za kuambiwa..?
 
Mpelekeni Kabendera mahakamani.
 
Kwa hiyo na wewe mbun'go wa malale umeshajifunza kiingereza kwa muda huu mfupi na kumaliza kusoma kitabu chote au ...
Hebu weka tafsiri ya kitabu chote hapa ....
 

"Draft inaisha mwaka huu" "Mwl akifanikiwa kushinda ataleta mabadiliko, akishindwa atakuwa kiongozi wa kawaida sana" says the Lord of host, I am who I am is His name...

But I said, say and will say to decree this; Tanzania njema ni a must project, liwake jua inyeshe mvua, it's done since 2012...Ushered as from 2015, was interrupted somehow but soon will be rekindled; In Jesus name I re-ignite the light, AMEN!
 
Anayebweka ni huyo kabendera pamoja na WeWe.

Msomi gani anaandika kitabu kwa stori za kuambiwa??

Hili ni andilo la PHD au ujinga tu kama mwingine??
Kwa hiyo ulitaka aandike stories za kutunga ndiyo uone yuko sahihi? Kazi ya Uandishi wa Habari ni kukusanya habari, anakusanyaje bila kuambiwa na vyanzo, kisha akazikamilisha habari?

Ova
 
Jamaa akapata fursa ya kutokea kwa kuandika kitabu. Mbona wanaopotezwa na serikali za dunia hii ni wengi kabisa,magufuli hajaua hata watu buku. Wengine akina Stalin mao ze.dong waliua mamilioni
1000 wachache angekuuwa wewe au mkeo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…