What is your point?
Hakubeba bunduki kila mara?
Hiyo picha ni sehemu ya kutengeneza plausibility kwamba Magufuli alimuua Saanane kwa mkono wake mwenyewe.
Ukiweka madai kwamba Alhaji Ali Hassan Mwinyi alimuua mtu kwa mkono wake mwenyewe, kwa bastola, wakati hakuna ushahidi wowote kwamba Alhaji Ali Hassan Mwinyi alikuwa na bastola, hatujui hata kama alijua kutumia bastola, madai hayo yanapata ugumu kukubalika.
Ukiweka madai kwamba Magufuli alimuua mtu kwa mkono wake mwenyewe, ingawa madai hayo bado yana ugumu kuyahakiki, lakini ugumu wake si mkubwa kama yale madai ya Alhaji Ali Hassan Mwinyi, kwa sababu angalau Magufuli tunajua alikuwa na bastola, kuna ushahidi wa picha anaionesha, most likely anajua kuitumia.
Hiyo picha ni ya Magufuli, inajulikana, huwezi kusema kapakaziwa picha si yake.
What is your point?