Erick Kabendera kupitia Kitabu chake: Ben Saanane aliuawa na Rais Magufuli na maiti yake ikatupwa Mto Rufiji

Erick Kabendera kupitia Kitabu chake: Ben Saanane aliuawa na Rais Magufuli na maiti yake ikatupwa Mto Rufiji

Mwangosi bomu la machozi la ffu lilimpata tumboni,mi lilinipiga mgongoni 2002 maandamano ya waislam,lengo la bom la machozi siyo kuua
Picha ya mwangosi akipigwa bomu ziliwekwa mitandaoni na magazetini uliziona? Hivyo ndio mabomu ya machozi yanavofyatuliwa kwa kupigwa close range tena tumboni kwa mtu? Unataka kusemaje? Umeamua kutetea kilicho chako kiimani kipuuzi kabisa
 
Mwandishi kwa makusudi kabisa ameamua kutumia picha ambayo ilikua ni siku Magufuli anawasilisha silaha zake kufanyiwa ukaguzi kwa maelekezo ya RC wa Dar.

Ambaye alitaka kila mkazi wa Dar apelekw silaha zake kufanyiwa ukaguzi. Ndipo ikapatikana hiyo picha. Watakaoona hicho kitabu na hawajui juu ya hilo wakisoma hicho kipande cha "he always carried a gun" kuna mtazamo wataupata.
Kwani umeambiwa hiyo ndio siku aliyomuua Ben Saa Nane?
 
Tumshukuru Mungu kwa kuwa awamu hii watu hawatekwi na kuuawa sababu za kisiasa,
Awamu hii watu wanatekana na kuuana. Awamu ya Magufuli ni yeye mwenyewe alikuwa anamiliki kikundi cha "wasiojulikana" na kilikuwa chini ya Makonda.

Haya yanayotokea sasa hivi ni athari alizoanzisha Magu ambazo watu wameiga, both CCM na Upinzani. Wanatekana
 
Nanukuu......
Kitabu cha “In the Name of the President: Memoirs of a Jailed Journalist” kilichoandikwa na Erick Kabendera, @kabsjourno kimeanza kuuzwa leo. Mwandishi anaeleza kuhusu kutekwa na kuuwawa kwa Ben Rabiu Focas Saanane, December 2016 alipigwa risasi na mwili wake kutupwa mto Rufiji.

View attachment 3189981View attachment 3189980
JPM kama alifanya hivyo kweli! Mungu alijibu mapema
 
Angelisema Magufuli alitoa 'maelekezo' ningeweza kumwamini.

hili la kusema eti alikutanishwa na Magufuli Ikulu na kwa vile Magufuli alipenda kubeba bastola, eti akachomoa bastola na kumpiga risasi kwa mkono wake, hainiingii akilini mimi.
Ni ngumu sana jambo hilo kutendeka kama alivyolirahisisha kwa kuliandika.
Ni vigumu kuaminika, ni vigumu kuthibitishika.

Lakini wanasema Magufuli alikuwa na faili Mirembe.

Kuna mambo mengi kafanya yalikuwa magumu kuaminika.

Alivyotekwa Mo Dewji nilipata tatizo sana kuamini kuwa utekaji ule unaweza kuwa na mkono wa serikali. Niliona si rahisi serikali kifanya utekaji hivyo. Sikuziea utamaduni wa serikali kuteka watu kwa wazi hivyo.

Lakini, baadaye imejulikana kwa ushahidi wa kuridhisha kwa kiasi kwamba serikali imehusika sana kwenye utekaji.

Mara nyingine hatutaki kukubali kuwa vitu fulani ambavyo sisi tunaviona vibaya sana vinaweza kutokea.

Ukweli ni kwamba, ni vigumu kuhakikisha Magufuli aliua au hakuua. Kama kaua kweli, wanaojua na kuweza kuaminika (mfano walinzi wa ndani wa Ikulu) hawawezi kukubali kwa sasa. Labda baadaye.

Mawazo ya watu hayataki kukubali ukweli wa kwamba "hapa hatuna jibu la uhakika, tusubiri tuchunguze tupate jibu la uhakika".

Karibu mara zote yanataka kuchukua upande na kuuamini bila ushahidi wa kutisha.
 
What is your point?

Hakubeba bunduki kila mara?

Hiyo picha ni sehemu ya kutengeneza plausibility kwamba Magufuli alimuua Saanane kwa mkono wake mwenyewe.

Ukiweka madai kwamba Alhaji Ali Hassan Mwinyi alimuua mtu kwa mkono wake mwenyewe, kwa bastola, wakati hakuna ushahidi wowote kwamba Alhaji Ali Hassan Mwinyi alikuwa na bastola, hatujui hata kama alijua kutumia bastola, madai hayo yanapata ugumu kukubalika.

Ukiweka madai kwamba Magufuli alimuua mtu kwa mkono wake mwenyewe, ingawa madai hayo bado yana ugumu kuyahakiki, lakini ugumu wake si mkubwa kama yale madai ya Alhaji Ali Hassan Mwinyi, kwa sababu angalau Magufuli tunajua alikuwa na bastola, kuna ushahidi wa picha anaionesha, most likely anajua kuitumia.

Hiyo picha ni ya Magufuli, inajulikana, huwezi kusema kapakaziwa picha si yake.

What is your point?
Umeandika maelezo marefu.

Na mimi nakuuliza hoja yako ni nini kwenye maelezo yote haya?
 
Awamu hii watu wanatekana na kuuana. Awamu ya Magufuli ni yeye mwenyewe alikuwa anamiliki kikundi cha "wasiojulikana" na kilikuwa chini ya Makonda.

Haya yanayotokea sasa hivi ni athari alizoanzisha Magu ambazo watu wameiga, both CCM na Upinzani. Wanatekana
Hadithi za kipumbafu kabisa...

Namshukuru Mungu, mauwaji na utekaji haujaisha...

Hivyo watu wanaotumia akili zao wanajua tatizo liko wapi.
 
Back
Top Bottom