Picha ya mwangosi akipigwa bomu ziliwekwa mitandaoni na magazetini uliziona? Hivyo ndio mabomu ya machozi yanavofyatuliwa kwa kupigwa close range tena tumboni kwa mtu? Unataka kusemaje? Umeamua kutetea kilicho chako kiimani kipuuzi kabisaMwangosi bomu la machozi la ffu lilimpata tumboni,mi lilinipiga mgongoni 2002 maandamano ya waislam,lengo la bom la machozi siyo kuua
Kwamba hili ndio jibu la swali langu?Wewe tunakujua una chuki binafsi na marehemu magufuli.
Kwani umeambiwa hiyo ndio siku aliyomuua Ben Saa Nane?Mwandishi kwa makusudi kabisa ameamua kutumia picha ambayo ilikua ni siku Magufuli anawasilisha silaha zake kufanyiwa ukaguzi kwa maelekezo ya RC wa Dar.
Ambaye alitaka kila mkazi wa Dar apelekw silaha zake kufanyiwa ukaguzi. Ndipo ikapatikana hiyo picha. Watakaoona hicho kitabu na hawajui juu ya hilo wakisoma hicho kipande cha "he always carried a gun" kuna mtazamo wataupata.
Huna jema kwa magu hilo tunajuaKwamba hili ndio jibu la swali langu?
Inawezekana ni kweli lakini inahusiana nini na uzi huu?Huna jema kwa magu hilo tunajua
Awamu hii watu wanatekana na kuuana. Awamu ya Magufuli ni yeye mwenyewe alikuwa anamiliki kikundi cha "wasiojulikana" na kilikuwa chini ya Makonda.Tumshukuru Mungu kwa kuwa awamu hii watu hawatekwi na kuuawa sababu za kisiasa,
JPM kama alifanya hivyo kweli! Mungu alijibu mapemaNanukuu......
Kitabu cha “In the Name of the President: Memoirs of a Jailed Journalist” kilichoandikwa na Erick Kabendera, @kabsjourno kimeanza kuuzwa leo. Mwandishi anaeleza kuhusu kutekwa na kuuwawa kwa Ben Rabiu Focas Saanane, December 2016 alipigwa risasi na mwili wake kutupwa mto Rufiji.
View attachment 3189981View attachment 3189980
Soka ndugu yetu yupo wapi ??Mwangosi?
Ni vigumu kuaminika, ni vigumu kuthibitishika.Angelisema Magufuli alitoa 'maelekezo' ningeweza kumwamini.
hili la kusema eti alikutanishwa na Magufuli Ikulu na kwa vile Magufuli alipenda kubeba bastola, eti akachomoa bastola na kumpiga risasi kwa mkono wake, hainiingii akilini mimi.
Ni ngumu sana jambo hilo kutendeka kama alivyolirahisisha kwa kuliandika.
Umeandika maelezo marefu.What is your point?
Hakubeba bunduki kila mara?
Hiyo picha ni sehemu ya kutengeneza plausibility kwamba Magufuli alimuua Saanane kwa mkono wake mwenyewe.
Ukiweka madai kwamba Alhaji Ali Hassan Mwinyi alimuua mtu kwa mkono wake mwenyewe, kwa bastola, wakati hakuna ushahidi wowote kwamba Alhaji Ali Hassan Mwinyi alikuwa na bastola, hatujui hata kama alijua kutumia bastola, madai hayo yanapata ugumu kukubalika.
Ukiweka madai kwamba Magufuli alimuua mtu kwa mkono wake mwenyewe, ingawa madai hayo bado yana ugumu kuyahakiki, lakini ugumu wake si mkubwa kama yale madai ya Alhaji Ali Hassan Mwinyi, kwa sababu angalau Magufuli tunajua alikuwa na bastola, kuna ushahidi wa picha anaionesha, most likely anajua kuitumia.
Hiyo picha ni ya Magufuli, inajulikana, huwezi kusema kapakaziwa picha si yake.
What is your point?
Hadithi za kipumbafu kabisa...Awamu hii watu wanatekana na kuuana. Awamu ya Magufuli ni yeye mwenyewe alikuwa anamiliki kikundi cha "wasiojulikana" na kilikuwa chini ya Makonda.
Haya yanayotokea sasa hivi ni athari alizoanzisha Magu ambazo watu wameiga, both CCM na Upinzani. Wanatekana
Tafiti ndio hupingwa kwa tafiti...anayempinga kabendera apinge kwa andishi Ben saanane Yuko wapi anafanya nn