Erick Kabendera kupitia Kitabu chake: Ben Saanane aliuawa na Rais Magufuli na maiti yake ikatupwa Mto Rufiji

Erick Kabendera kupitia Kitabu chake: Ben Saanane aliuawa na Rais Magufuli na maiti yake ikatupwa Mto Rufiji

Tumshukuru Mungu kwa kuwa awamu hii watu hawatekwi na kuuawa sababu za kisiasa,
Utakuwa haupo bongo wewe
Juzi tu mtu katekwa na watu wasiojulikana kwenye stendi ya Magufuli.
Mtu kachoma picha ya saa100 hajulikani alipo halafu unaweza siyo sababu za kisiasa.
 
Kuna bwana mmoja alikuwa anauza madawa ya kulevya..amefariki juz hapa alikuwa gerezani(miaka 30)..mtu WA tanga..
Siku amekamatwa akasafirishwa mpaka state...mzee akamuona ..akamuuliza kumbe wewe ndio desh desh Yanga!!?..Kisha akasema nilikuwa nataka nikuone...Kisha akawaambia walio mleta.."Nendeni mkashughulike nae"....
Mzee alikuwa mkali lakini sio kufikia hatua ya kuua kwa bastola yake""..I stand to be corrected.
1. Waliompeleka ni watu gani?
2. Huyo mtuhumiwa alishinda kesi?
 
Ila viongozi wakristu nchi hii huwa washamba sana,yaani ubabe,udikteta koko nk,kuongoza kwenyewe hawawezi,wakikalia kiti sijui hujiona miungu watu!
Huwa wanambiwa wao ni smart walisoma elboro au vipaji so wananza mikwala uswahilini ushawah kuona mkristo akipata wadhfa kukaa na wenzake vzr mtaani hujifanya so special kiburi dharau nk sasa huyo mpe uongoz wa nchi lakini upande wa pil tupo nao uswaz hawa noma kina jafu kigwangala nk hyo nd tatizo
 
Nanukuu......
Kitabu cha “In the Name of the President: Memoirs of a Jailed Journalist” kilichoandikwa na Erick Kabendera, @kabsjourno kimeanza kuuzwa leo. Mwandishi anaeleza kuhusu kutekwa na kuuwawa kwa Ben Rabiu Focas Saanane, December 2016 alipigwa risasi na mwili wake kutupwa mto Rufiji.

View attachment 3189981View attachment 3189980
Mimi nadhani kuna mambo tuyaache kama yalivyo kwakuwa marehem hawezi kufufuka akaja kujitetea na mpaka kitabu kinatoka mamlaka zilikipitia nakuruhusu. Naomba wasiache kuruhusu na mambo yao yakaandikwa wazi baada yakututoka ili kuweka usawa. Ninachokijuwa nguvu kubwa inatumika kuuwa legacy ya huyu baba JPM je sisi ni nani
Pili wasijitoe better wakumbuke baada ya Magufuli kuondoka watu bado wanatekwa na kupotea je wapo wapi je ina maana Rais anahusika? Kama hausiki why Magufuli? Well yote majibu yatatoka kwa Mungu mwenyewe. Hamuwezi angaika na marehem kiasi hiki mkawa salama karma itawajibu huu Mwaka wa haki 2025
 
mkuu elezea kidogo hii ilinipita
Ingia YouTube andika mama mzazi wa Kabendera .

Alikuwa na 80+ yrs alimuomba Magufulia amsamehe mtoto wake ili amuhudumie katika matibabu .

Alisema kabendera ni mtoto pekee Mungu alimpatia ili awe msaada wake .

Na mwisho yule alisema sitoweza kuishi endapo nitaendelea kukosa Dawa.

Unfortunately Kabendera akuachiwa na mama yake alipoteza maisha baada miezi kadhaa .

Huku kabendera akiwa nyuma ya nondo.

Baadae kabendera aliachiwa Kwa kukubali kosa na kulipa pesa zaidi ya mil 100.
 
Angelisema Magufuli alitoa 'maelekezo' ningeweza kumwamini.

hili la kusema eti alikutanishwa na Magufuli Ikulu na kwa vile Magufuli alipenda kubeba bastola, eti akachomoa bastola na kumpiga risasi kwa mkono wake, hainiingii akilini mimi.
Ni ngumu sana jambo hilo kutendeka kama alivyolirahisisha kwa kuliandika.
Nothing is impossible under the sun.
Such allegations needs to be accompanied by hard evidences.., Not Just Hearsay (Sources I have Spoken to)

Just my two Cents.....
Maybe the book has 'some kind of proof', I mean just maybe. To get the hard evidence whilst the accused was a sitting president, it's kinda tricky.
 
hakuna ukweli wowte kuhusu icho kitabu.. wote wawili wameshafariki kwaio mwandishi anaweza kuongea chochote ata akisema walikula biriani kwanza na wakaogelea swimingpool kisha ndo akamuua bado ni yale yale.. mm naona hakutakiwa kuongelea ivo vitu
 
Angelisema Magufuli alitoa 'maelekezo' ningeweza kumwamini.

hili la kusema eti alikutanishwa na Magufuli Ikulu na kwa vile Magufuli alipenda kubeba bastola, eti akachomoa bastola na kumpiga risasi kwa mkono wake, hainiingii akilini mimi.
Ni ngumu sana jambo hilo kutendeka kama alivyolirahisisha kwa kuliandika.
Ni ngumu kutendeka lakini linawezekana pia kufanyika.
 
Back
Top Bottom